Wanaotembea na wake za watu

Provided mke wangu anatimiza wajibu wake kwa familia sina mda wa kumhisihisi, kigezo changu cha kumjua mchepukaji ni mabadiliko ya kitabia awapo na wewe, mwanamke anayefumaniwa na mchepuko huwa ameanza vurugu ndani siku nyingi na maelewano na mmewe huwa yamepungua kwa hiyo ukianza kufatilia mawasiliano yake lazima utamkamata na ndio mda mzuri wa kufanya maamuzi hapo sio lazima umfumanie maana hutaweza.
 
 
dah mapenzi mke wa mtu hatari, hapa tu nasoma haya kuna mnyama kanaswa live bila chenga na mke wa mtu ofisi jiran na kwangu..... stor ni ndefu binafsi huyo mama nishamgegeda na mlokolee balaa na msomi pia mume naye mtumishi sehem cha ajabu huyo mama hana shida kwake yyt kuhusu maisha lakini kimbembe akiona smart tu kadata... tuliachana kwa wivu wake sasa kalianzisha na mshikaji fulan kaona kapata leo kadabwa .... mke wa mtu ogopa! japo watamu balaaa hakuna gharama
 
Halafu pia, wake za watu wengi wanaogongwa ni kama wanafanya "revenge".

Mume kashaharibu na vidosho kibao huko, mke kamtunzia heshima, mpaka kachoka.

Na yeye anaamua kujiachia apunguze machungu.
 
Halafu pia, wake za watu wengi wanaogongwa ni kama wanafanya "revenge".

Mume kashaharibu na vidosho kibao huko, mke kamtunzia heshima, mpaka kachoka.

Na yeye anaamua kujiachia apunguze machungu.
Yeah hii ni sababu nyingine kuu ya mke kuuza utu nje ya ndoa, unakuta jamaa kavumiliwa sana hadi mke nafsi imechoka!
 
Akiona smart phone au????[emoji47][emoji47][emoji47]
 
Mkuu ze-dudu nakwambia nipo zaidi ya akili nyingi sbbu jamaa namfaham hashindwi chochote ni mtata htr aachani na manati kutoka Czech Republic, kwaiyo najua kbsa hpa nabet vitu viwili roho yangu au marinda yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kila anayetembea na mke wa mtu anafanya kusudi. Wakati mwingine inabidi tu.
Kama hujui sawaaa ilaa kama Unajua HAKUNAAA HUO UJINGA WA WAKATI MWINGNE INABDI...!
 
Ikawaje mkuu??

Fanya kumalizia kwan kumalizia ilo somo nilifeli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…