vinny valency
Senior Member
- Oct 9, 2018
- 128
- 36
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaMazee kama kuna nishani ya Nobel ya kuhalalisha mambo ningependekeza wakupe.
Sio tu umehalalisha kutembea na mke wa mtu, bali pia umempa makosa huyo mume wake kwamba yeye ndiye kaingilia reli yako kwa kukuchukulia demu wako wa zamani!
sawa wao si maziwa au sio?Mi nimewakwepa mpaka nimesalimu amri mkuu....wake za watu ni tabu sana hawakwepeki kabisa
pw pwhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sawa mkuu kama kaja mwenyewe fanya yako ila usimfate kwake
mungu awalaani hao mashetani kabisaKuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?
Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
Uzi wake kautuma saa nane na dakika arobani za kuamkia leo. hahahahahah.
hahahaha, ina maana hata muda huo mleta mada hakupata usingizi kwa hasira za kugongewa mkewe. hahahahahahahHahaha nilikuwa macho mida hyo
Na inaonekana aliandika huu uzi huku analiahahahaha, ina maana hata muda huo mleta mada hakupata usingizi kwa hasira za kugongewa mkewe. hahahahahahah
hasa pale mwishoni mwishoni alionekana kabisa imemuuma sana.Na inaonekana aliandika huu uzi huku analia
Mlaumu mkeo kwa kukubali kutongozwa na kuvuliwa bikini na mwanaume mwingine, kama angekuwa anathamini hiyo ndoa asingethubutu kukubaliKuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?
Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
hasa pale mwishoni mwishoni alionekana kabisa imemuuma sana.
HENA MGHOTHI KULA KAA HETU KAE EKINATI "KAA NI MJIGHO"
Eghuhie KIBERENGE hahahahahahaShigha du chamla sana vamuumia mche wakwe
Eghuhie KIBERENGE hahahahahaha
πππππππππ mxewwwuuuHahaha viberenge vinona sana
πππππππππ mxewwwuuu
Bora umewaambia ila umewasahau wale wanaotembea na waume za watu piaKuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?
Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
mi ukitembea na mke wangu nikujua nakurestisha in pis