Wanaotembea na wake za watu

Konki konki master, shamba ya kichwa itamuhusu,mke wa mtu namla kwangu alafu njoo univamie kwangu ndo siku hiyo utaona matiti ya nyoka

Hata mimi huwa nawaambia utafumaniwaje ukiwa kwenye mji wako na umeshajiandaa?kupita getini tu haiwezekani mpaka ueleweke....ngoja niendelee kuwagonga mie
 
Mke wa Mtu naetembea nae sasa alikuaga Demu wangu kabla hata huyo mumewe wa sasa hajamjua, na hatukuwahi kugombana. Mizunguko tu ya kimaisha ndio ilitutenganisha na kutuachanisha. So mumewe ndo anatembea na Demu wangu wa Zamani.
Mazee kama kuna nishani ya Nobel ya kuhalalisha mambo ningependekeza wakupe.

Sio tu umehalalisha kutembea na mke wa mtu, bali pia umempa makosa huyo mume wake kwamba yeye ndiye kaingilia reli yako kwa kukuchukulia demu wako wa zamani!
 

Mi nimewakwepa mpaka nimesalimu amri mkuu....wake za watu ni tabu sana hawakwepeki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…