‘Wanaotawaliwa’ na wake zao huishiwa nguvu za kiume………………!

hata kama si kutawaliwa makelele yakizidi,kuna wanawake wana makelele jamani weye tu mwanamke mwenzie unajiuliza yule baba anaishije?
 
mwanamke anapomtawala mumewe, ina maana ni mbabe tayari. unayosema Mtambuzi yanaweza kua na ukweli. raha ya mapenzi ni kubembelezana na mwanamke kudeka. sasa mwanamke ukiwa mbabe, deko zitatoka wapi? lazima mwanamme awe mwoga, na ni kweli nguvu zinakwisha sababu ya ule woga, maana hata tendo lenyewe kuliomba mara kwa mara unaogopa hasa ukizingatia mwanamke ndio kavaa jezi ya ubaba... pagumu sana hapo, lazima nguvu zipungue kama si kwisha kabisa.
 
Wanaozaa watoto wa kike tu mi nadhani wanapenda ngono everyday wanafanya, hata kama mama hayuko kwenye mood baba anadai tuuuu. Nina rafiki yangu ana watoto wa kike tuu na mume wake ni sex monga kishenzi, hivyo mbegu hazikomai. Sababu nyingine ni wanaume walevi pia wanakuwa na mbegu chache. Habari ndo hiyo.

inawezekana, kwa sabau inaonekana familia nyingi ambazo wanaume wako under-control ya mwanamke watot huzaliwa wa kike(jaribu kutafiti utaona) sijajua kwanini lakini nafikiri ni kwa sababu mbegu za kiume huhitaji utulivu na amani na za kike ni weak but fast!!! so ni possible ulichokisema mkuu
 
kuhusu male gametes you have said VICE VERSA.
 
Back
Top Bottom