tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 560
Kumbe.
Picha zote ni account moja on same phone but different app
Ok sawa nimekuelewa kuwa applications ndio zina effect tofaut ktk hilo swala, kama hutojali ningeomba unitajie hiyo app yenye kusoma kwa mtindo wa k. Asante
Kama Nina account yangu tayari utaniongezea na followers wangu? Na jina nitaendelea kutumia lile lile? liljustine21 halafu naombeni mnifundishe jinsi ya kurepost
Nakuja box /PM
Yes app na pia devices sometimes zina effect. Hapo mi natumia official instagram ndo imeleta K ila kwa wengine mpaka wakifikia 10,000 ndo wanaona 10K
Jaman wadau,kila mtu anauelewa wake na kila mtu ana mtazamo wake.Nashukuru Mungu maneno ya wengi si sheria kwani watu wangekufa maskini jamani.
Nashukuru wana JF tangu nimeanza kuuza account za IG leo nimetimiza account tano ���� (Kumbuka) Usidharau afanyacho mtu kwa kua kwako hakina maana, ukitupacho wewe kisa kimeoza kwa "Inzi" ni Dhahabu}