Wanaotafuta kazi jihadharini na matapeli hawa

MSAKANOTE

Member
Sep 28, 2012
18
1
Kumekuwa na wimbi la matapeli kwenye soko la ajira kwa kuwatapeli wanatafuta kazi kuwa watoe kitu kidogo ili wawapitishe kwenye usaili, najiuliza kweli wewe mwajiri unahitaji elfu 40 au 50 kwa mtafuta ajira?, kama sisi tunatafuta ajira tumeamua kugeukana nayo tujue.
 
hii kitu imelipotiwa sana humu JF sidahani kama bado watu wanaendelea kuingia mkenge
 
kuna jamaa anaitwa steven anatangaza sana kazi kupitia jina la vipajilink ni tapeli mkubwa.

Hatari zaidi huyu jamaa Amon mwenye namba 0715590419.
 
Back
Top Bottom