Wanaosoma Chuo chochote Dodoma.

Epafras

Member
May 15, 2015
78
27
Habari wana Jf,nipo dodoma mjini kwa sasa ninahitaji kukutana na watu wanaosoma kozi ya IT kwani nami nataka kusoma mwaka huu..kwa mawasiliano katika whatsapp namba 0765268205
 
Wakati unasubiri matokeo ya form six tafta kazi ya kufanya yenye kukuingizia kipato ili uwe busy, pia ujiwekee kipato cha kukusaidia mbeleni pasipo kutegemea wazazi.

Chuo si mchezo mchezo, kuna wanaoenda kusoma na wasindikizaji, wasindikizaji ndio hao unaoeaona wanakula bata kila siku mjini. Wanaosoma hawazuruli ovyo wanatengeneza GPA.

Jipange
 
Kwa hiyo mwaka huu una uhakika resetting yako ya mitihani itakuwezesha uingie chuo kikuu?
Niko vizuri sna kwa alama zangu ningekuwa hata dar ningekubaliwa....nilikosa mkopo ndio nilikuwq nahaso kutafuta mkwanja
 
Wakati unasubiri matokeo ya form six tafta kazi ya kufanya yenye kukuingizia kipato ili uwe busy, pia ujiwekee kipato cha kukusaidia mbeleni pasipo kutegemea wazazi.

Chuo si mchezo mchezo, kuna wanaoenda kusoma na wasindikizaji, wasindikizaji ndio hao unaoeaona wanakula bata kila siku mjini. Wanaosoma hawazuruli ovyo wanatengeneza GPA.

Jipange
Nipo vizuri kwa sasa najua ambae yupo dom akiniona atathibitisha tu
 
Back
Top Bottom