Wanaosema Tanzania maisha magumu.

Wanaosema Tanzania maisha magumu.

Ukiona hivyo ujue bei inaendana na pato lao la taifa vinginevyo kampuni zingefungwa kwa kukosa wateja.
 
Huo msemo wa "vyuma vimekaza" sometimes unatumika tu kukwepa kuombwa ombwa hela...ila watu wapo vile vile kama siku zote i.e makapuku na wenye nazo....tena sasa hivi naona kuna improvement kidogo maana anasa za kijinga jinga watu wengi wameacha kwahiyo wanadunduliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom