Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo. Huyu Mwanasheria wa ACT ni chawa anayedandia. Hebu tufikiri pamoja. Hapa jipya siyo kile alichosema Polepole bali Polepole kulisema wakati alikuwa mwenzao. Jipya ni namna alilvyoibuka Polepole. Jipya ni namna wanavyohangaishana. Jipya ni kuonyesha ugomvi baina ya Polepole na Samia, Jipya ni serikali kutokanusha. Jipya ni ACT na CHAUMA kutokana madai ya Polepole. Jipya ni Polepole kusikilizwa. ACT-Wazalendo na Zitto Kabwa. ni CCM B. Kwa tunaomjua, huyu mwanasheria hajui asemacho na atakopojua atakuwa katupwa nje. Natamani na kumtana ajibu hapa kama ana ubavu. Nakubaliana kuwa kumbe anachotetea siyo vyama vya siasa bali vyama vya wengine kama anavyobainisha.