Bado unatoa majibu ya kihuniHuo bado ni uhuru sababu ya lile lengo la wewe kuumbwa.
Hapa ungekuwa wewe ungesema jibu kwanza swali languMwisho wako unaujua ?
Ameshiriki kivipiAmeshiriki kivipi ? Nilikuuliza ukifanya mabaya huwa unaamua kwa hiari yako au unafanye ? Haya maswali ungekuwa unajibu yangekuepusha na makosa.
Nimekujibu lakini nakujibu tenaNakuuliza swali, unajua mwisho wako utakueaje ?
Kwa maana Mungu anaweza akajua muuaji anaenda kuua, halafu muuaji akabadili gia na kuhairisha kutekeleza hayo mauaji?Kujua kwake hakukuzuii wewe kufanya unachotaka. Unarudia swali ambalo nimeshakujibu.
Unajua kwanini mwanadamu ameumbwa na matashi, akili na mfano wake ?
Kama unakiri kuna mambo yapo nje ya uwezo wetu na bila shaka utakubaliana kuwa tungepewa huo uwezo tungefanya mazuri, kwanini Mungu hakufanya hivyo?Ndiyo maana kuna mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu, si kwa mtoto mchnga tu bali kwa mtu yoyote.
Kama jambo gani ? Hivi huwa unasoma ninachokiandika ?Kwanini Mungu amuadhibu kiumbe kwa kufanya jambo ambalo limechangiwa na uwezo wake kuwa nje ya kiwango?
Tungepewa uwezo gani tungefanya mazuri ? Hali ya kuwa kila kitu kimeshawekwa wazi ? Jitahidi kujenga hoja vizuri na ujenge hoja kwa mujibu wa kile nilicho kiandika.Kama unakiri kuna mambo yapo nje ya uwezo wetu na bila shaka utakubaliana kuwa tungepewa huo uwezo tungefanya mazuri, kwanini Mungu hakufanya hivyo?
Ukamilifu wa mwanadamu unaingia katika sheria alizoziweka Mola mtukufu. Ya kwamba amuumba mwanadamu mwenye madhaifu ila akaweka sheria za kutimiza ukamilifu. Mathalani leo hii mwanadamu amewekewa sheria ya kuomba msamaha, kadhalika na mambo ambayo akiyafanya hufuta makosa aliyo yafanya, akaweka sheria ya mambo ambayo akiyafanya analipwa mema na mema zaidi.Kwanini Mungu hakumpatia mtu uwezo wa kutosha kuweza kufanya mambo katika utimilifu?
Kila jambo lina hatua. Ndiyo maana kuna hatua ya ukuaji na utendani mambo. Mtoto akiuliwa huo unakuwa wakati wake umefika, ila hatohukumiwa kwa hilo, mwenye makosa ni yule aliye muua.Mtoto wa miezi mitatu tumboni kwa mama yake anauwezo wa kujitetea kutokufa pindi mama yake akitaka kumuua kwa kuitoa mimba?
Bila shaka kabisa, mara ngapi tunabadilisha nia zetu ?Kwa maana Mungu anaweza akajua muuaji anaenda kuua, halafu muuaji akabadili gia na kuhairisha kutekeleza hayo mauaji?
Kama hawezi utasemaje anaweza fanya anachotaka?
Mwisho wako huujui, ila ushaambiwa ukifanya mema unaenda sehemu fulani na ukifanya mabaya kadhalika, kwanini usifanye mema ukaenda peponi ?Sijui mwisho wangu utakuwaje, lakini pia hapo inaonesha dosari nyingine kuwa sio kweli tuna uhuru wa kuchagua kwasababu hatuwezi kujua hata mwisho wetu
Mimi simjui aliyefanya hivyo vipi Wewe mwenzangu unamjua na ulishawahi mwona?Hakuna mwingine Mwenye uwezo zaidi ya Mungu wa kuchanganya shahawa za baba yako na yai la mama yako ukapatikana wewe
Ila kama wewe unamjua aliyoifanya hiyo kazi hadi wewe Leo upo hapa duniani nitajia ni nani na kama humjui pia sema kuwa hamjui aliyefanya hadi Leo hii wewe upo hapa duniani
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Quran 35:11
Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.
Quran 23:14.
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
Umeumbwa kupitia hizo process na hizo process naamini unazikubali ila maandiko yanazema Mungu ndio aliyefanya hayo
Najua kuwa wewe hauamini Quran nataka unitajie kwa upande wako ni nani alifanya hizo process hadi Leo hii wewe upo hapa duniani
Sent
Quran 35:11
Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.
Quran 23:14.
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
Umeumbwa kupitia hizo process na hizo process naamini unazikubali ila maandiko yanazema Mungu ndio aliyefanya hayo
Najua kuwa wewe hauamini Quran nataka unitajie kwa upande wako ni nani alifanya hizo process hadi Leo hii wewe upo hapa duniani
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hizo ni Mythology za waarabu Tena walizicopy kutoka Kwenye Maandiko ya IsraelitesQuran 35:11
Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.
Quran 23:14.
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
Umeumbwa kupitia hizo process na hizo process naamini unazikubali ila maandiko yanazema Mungu ndio aliyefanya hayo
Najua kuwa wewe hauamini Quran nataka unitajie kwa upande wako ni nani alifanya hizo process hadi Leo hii wewe upo hapa duniani
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Wasipokuelewa hapa Hawa viumbe hakika vichwa vyao ni mizigo mizigo Sana Mkuu!Mtiririko wako una hitilafu kubwa sana. Hitilafu ya lazima chanzo cha kwanza cha ulimwengu kiwe mungu. Kwanini ulazimishe umungu kwenye kila hali? Hakuna hali ya kwamba mungu akakosekana? Anayesema hydrogen atoms mungu wake hizo atoms. Atakayekuja kusema strings utasema mungu wake ni strings? Au weak force? Quantum dynamics? Undefined probabilities?
1. Uchawi ni nn? Uchawi unafanyikaje? Unaathiri vipi vitu na watu? Kiimani na kisaikolojia au ina athari za kihalisia? Wewe ndio wale wanaodhani ukiomba kabla ya kuanza safari au mtihani utafika salama au kufaulu? Unadhani mtu akikuendea kwa mganga ufilisike utafilisika kweli bila wewe kusababisha au sababu ingne isiyohusiana na uganga uliofanywa? Nawe ni mmoja wao? Kama ni hivyo pole sana mkuu.
Lakini tuendelee. Ukielewa na kufata taratibu za kitafiti na uchunguzi utagundua hakuna uchawi, wala bahati, wala mkosi, wala miujiza wala viumbe visivyofata sheria asilia. Hakuna anayepaa tu hivihivi. Hakuna anayepona ghafla bila uhalisia wa kibaiolojia. Hakuna anayekufa pasipo sababu za msingi. Hakuna anayedhuriwa kichawi au kwa nguvu zisizopimika. Kila kitu duniani lazima kifate sheria asilia. Hakuna njia ya mkato. Uchawi haupo. Upo kichwani mwako tu. Hakuna haja ya kuongelea sana hili liko wazi sana kwa wenye kufatilia kiundani mambo ya kwenye jamii zetu.
2. Mungu ni nini au nani? Kwa maana za kibinadamu za kawaida hakuna ushahidi wa uwepo wake. Mungu ana ufahamu? Kama ndio basi atoms haziwezi kuwa miungu. Hazina ufahamu wowote. Kama mungu hana ufahamu basi pengine atoms kweli(unajua kuna vipengele ndani vinavyoathiri na vidogo zaidi ya atoms?) ndio miungu yetu. Miungu hii haihitaji imani za kuombwaombwa au kujengewa mahekalu, kutengewa muda na siku fulani na taratibu fulani ili ziridhike kututimizia mambo yetu hapa duniani. Sadaka zetu zitasaidia nn atoms? Ibada zinakuwa hazina maana. Dini zitatakiwa kutoweka kwenyw jamii watakaoelewa miungu hii. Hoja yako ya atoms ni miungu inafaa kupuuzwa mara moja.
Kuna wanasanyansi wana hoja zao kwamba kama uwepo wa kitu mungu unawezekana basi sio mungu aliyehai na kuwepo kila saa na sehemu. Kuna jina wanapenda kulitumia kuongelea hili kundi la imani; Deism. Yaan madai ya hii ni yawezekana alitenga mafiga matatu akainjika chungu akasepa. Kwahiyo mkono wa mungu kwenye dunia hii wala ulimwengu kiujumla. Hayupo tena alishaondoka akatusahau yapata bilioni kadhaa ya miaka. Hapa hakuna mambo ya miujiza, maono, uchawi sijui mapepo, mikosi, bahati, nyota yako sijui na takataka zingine.
Mimi binafsi, kama walivyo wanasayansi na wasio wengi, nasema ulimwengu ulianza bila ya uwepo wa mungu. Kuweka hoja kwamba alianzisha au yupo siyo suluhisho. Bali ni kuongeza tatizo jipya kwenye mtiririko wa suala hili la chanzo cha ulimwengu. Sana sana unaongeza maswali zaidi. Alitoka wap? Ametengenezwaje(hakuna kisichokuwa na mwanzo wa hivihivi tu. Kama ulimwengu lazima uliumbwa basi hata huyo muumbaji wake aliumbwa. Tusizushe umaalumu kama kinga ya hoja)‽ Kwann aanzishe?(Jibu liwe la maana sio ili "aabudiwe" utaanzisha kingine kwann aabudiwe? Bila kuabudiwa hajatimia?) Kwann alilipua muda husika? Alilipuaje? Alikuwa na lengo la kufikia hapa tulipo sasa?
Ukikaa peke yako na imani zako jitathmini sana na mwisho ujikubali kwamba unaamini lakini hujui unachokiamini hata ukisoma likitabu gani la imani haisaidii!
Mambo yaliyo nje na uwezo wetu ni yapi?Kama jambo gani ? Hivi huwa unasoma ninachokiandika ?
Kwanini kuna mambo yametuzidi kwasababu yako nje ya uwezo wetu na hatuwezi kuya control?Tungepewa uwezo gani tungefanya mazuri ? Hali ya kuwa kila kitu kimeshawekwa wazi ? Jitahidi kujenga hoja vizuri na ujenge hoja kwa mujibu wa kile nilicho kiandika.
Hujajibu swali.Mambo yaliyo nje na uwezo wetu ni yapi?
Jibu maswali niliyo kuuliza.Kwanini kuna mambo yametuzidi kwasababu yako nje ya uwezo wetu na hatuwezi kuya control?
Alivyokua anamuumba kwa kumuwekea udhaifu hakujua kuwa huo udhaifu utasababisha kufanya yale yasiyo mpendeza?Ukamilifu wa mwanadamu unaingia katika sheria alizoziweka Mola mtukufu. Ya kwamba amuumba mwanadamu mwenye madhaifu ila akaweka sheria za kutimiza ukamilifu. Mathalani leo hii mwanadamu amewekewa sheria ya kuomba msamaha, kadhalika na mambo ambayo akiyafanya hufuta makosa aliyo yafanya, akaweka sheria ya mambo ambayo akiyafanya analipwa mema na mema zaidi.
Nimekuuliza makusudi nikijua wewe ndiye uliyeanzisha hiyo habariHujajibu swali.
Ushaanza kukimbia mjadalaJibu maswali niliyo kuuliza.