Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

ushoga ni kinyume na akili za kibinadamu.wanyama,ndege na wadudu hawafanyi!Kwa yeyote aliyezaliwa na baba (mwanaume)na mama(mwanaume) na awe wakwanza kudai haki ya kuzaliwanayo,ushoga.
 
Wala sio hamaki au hasira, wewe jiulize tu pale tundu la mavi linapogeuzwa kuwa kigegedo halafu utegemee watu wawe kimya...

Tatizo unahamaki, inaelekea una Hasira sana, angalia usije ukajiua Tu, Siku Ushoga ukibisha Hodi Nyumbani kwako!
 
Kwahiyo tuwaache eti?
 
Wanaume ndio chanzo cha yote. Kila tundu tunataka kupitisha tupu zetu. Tuliumbiwa mbele, tukahamia nyuma sasa hivi tuko mdomomi na muda sio mrefu tutahamia masikioni trust me.
 
Kwa hoja yako inaonesha unakubali ushoga na kama unakubali ushoga unaukubali kwa vigezo vipi?viweke hapa halafu na sisi tukueleze tunaupinga kwa nini?
Mimi ni mmoja wa wapinga ushoga tena kwa dhati kabisa ila kwa wanafiki kama wewe napendelea wanapojifafanua kwanza ndipo nawaelekeza.
 
https://www.youtube.com/watch?v=RmSggYqp-6A
 
JIHAD YA WAiSLAM IHAMIE KWA "MASHOGA" BADALA YA WAAMINI MOLA WENZAO
 
Dah hyo aunty mudi ni wazaman sana kafa cku nyng....umenikumbusha tulivyokuwa tunamshangaa
 
NN, Kijakazi na Bhanunu mh!
Kweli siwqelewi!

Kila mtu anayo haki ya kupenda , na kufanya kimpendezacho bila kuvunja sheria tu a
kwa nini unitaje ? Uwenaadabu
 
JIHAD YA WAiSLAM IHAMIE KWA "MASHOGA" BADALA YA WAAMINI MOLA WENZAO

Kila dini kuna mashoga , kunashoga , shelkh , padri, waziri, mbeba zege, mkaanga chipsi, baunsa
daktari, mwanasheria, mwanajeshi , polisi yaani mapaka Gaidi , shoga yupo
 
Hunajipya , haki ni haki tu
 
Wanaume ndio chanzo cha yote. Kila tundu tunataka kupitisha tupu zetu. Tuliumbiwa mbele, tukahamia nyuma sasa hivi tuko mdomomi na muda sio mrefu tutahamia masikioni trust me.

Pointi safiiiiiiii
 
Kwa hiyo kinachopingwa ni kuhalalishwa tu, siyo?

Kwa hiyo kama ushoga upo tusiupige vita!? Kama UKIMWI upo tusiupige vita, kama ujambazi upo siku nyingi tusiupige vita kwa kadri ya maelezo yako..!?
 
Kila dini kuna mashoga , kunashoga , shelkh , padri, waziri, mbeba zege, mkaanga chipsi, baunsa
daktari, mwanasheria, mwanajeshi , polisi yaani mapaka Gaidi , shoga yupo

Wewe upo kwenye fani kati ya hao..!?
 
ushoga ni kinyume na akili za kibinadamu.wanyama,ndege na wadudu hawafanyi!Kwa yeyote aliyezaliwa na baba (mwanaume)na mama(mwanaume) na awe wakwanza kudai haki ya kuzaliwanayo,ushoga.

Kwani wakifanywa na wewe huwaunawashwa nini
 
Kwa hiyo kama ushoga upo tusiupige vita!? Kama UKIMWI upo tusiupige vita, kama ujambazi upo siku nyingi tusiupige vita kwa kadri ya maelezo yako..!?

Kosa la shoga nini kwani wakifanyanaa na wewe mku,,, d , u , unakuwashaga nini
 
Pontless, huna sababu ya kupinga haki ya mtu, asiyekuhusu
 
Kosa la shoga nini kwani wakifanyanaa na wewe mku,,, d , u , unakuwashaga nini

Hapa naona najibizana na shoga aliye kubuhu , hongera Bhanunu kwa kukamata na kuitumia fursa iliyo nyuma yako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…