Duh, naona hoja ambayo ni intellectual argument ni mbili
1. inayohusiana na gharama za kuendesha kesi katika mahakama ya kadhi!
2. Waanzishe waislamu pekee
Majibu:
1. Gharama za kuendesha kesi hizo ni vema zitoke serikalini kwakuwa kadhi courts itakuwa pia imepunguza kwa kiasi kikubwa kesi za waislamu zinazofanywa na mahakama za serikali (inabidi tufanye calculation ili tupate kiasi hasa ni kesi ngapi za waislamu kwa sasa zipo mahakamani ambazo zinatakiwa kupelekwa kadhi courts na gharam yake ni shilingi ngapi each case..tukipata tuna transfer kiasi hicho kadhi courts
2. Ni muhimu kuanzishwa kisheria ili watu walioamua kufuata sheria hiyo wakubaliane na hukumu ya kadhi, kama itakuwa haitambuliki kisheria itakuwa haina maana kwasababu itakuwa hakuna tofauti ni kutokuwa na mahakama..kutambulika ni jambo la lazima ili iweze kuitwa mahakama..lakini kuhukumiwa huko ni optional siyo lazima..lakini unapokubali mahakama hiyo lazima ukubali hukumu zake..ok
tuache jazba nataka intellectual arguments ok
J
................... mleta mada amejielezea vizuri kuwa: Ndoa ya Kiislaam inatambulika kisheria, Je kwanini kataika mirathi iwe ni suala lisilo tambulika kisheria ? Ndoa na Mirathi vinaweza kutenganishwa ? (elewa Kiislaam ndoa ni Ibada na kufanya mirathi katika misingi ya kidini ni ibada pia) na linapokuja suala la uchangiaji gharama ndio inakuwa nongwa. Kwani Kodi inalipwa na jamii moja au na wengine wanalipa ? kwanini jamii moja ijifanye yenyewe ndio ina ultimantum ? Hapa ndio makubaliano ya Wakristo na Serikali (MoU) yanapoingia, kwanini kodi ya Watanzania kwa ujumla wao zilipie Taasisi za Kikistro ? Katika hili jamii zingine zilihusishwa ? consider yourself that ur an Interllectual and u a now answering the above arguments !Sina uhakika kama atatoke mmoja wetu na kukuomba uthibitishe madai haya kwa kutumia katiba hii tulio nayo utaweza kuandika hata mstari mmoja. Kama utaweza basi nakuomba utupe ushahidi wa hizo values, traditions na morals ili nasi tufunguke.
Lakini pia jiulize wewe umefanya nini ili kupata katiba mpya isiyokuwa na mfumo wa kidini. Juzi tumeona uhuni bungeni na tumekaa kimya kwa kuaminishwa kuwa katiba italetwa na malaika wachache wanoishi kama wanadamu, halafu leo tunasema katiba imeandikwa kwa msingi wa dini fulani. Swali, unafanya nini ili kuhakikisha haindikwi na mfumo unaousema wewe.
Pili, kama suala la kadhi linahitaji serikali basi hakuna sababu ya kuunda chombo kingine. BAKWATA inatosha na labda ifanye utaratibu wa kumpata kadhi. Nina uhakika kwa maneno hayo wapo ambao nyongo zimewachemka matumboni na wengine wananiona
hayawani
Nina sababu za msingi, ya kwamba madai mengi ya waislam ni kuwa BAKWATA ni chombo cha serikali na kinafadhiliwa na serikali ili kuhujumu uislam.Kumbu kumbu zangu zinanionyesha kuwa Sheikh mkuu kwa nyakati hizo(sijui sasa) alikuwa anapewa nyumba na serikali ikiwa ni pamoja na usafiri. Hii labda ndio sababu inayopelekea wengi kuamini BAKWATA ni chombo cha serikali pamoja na madai mengine.
Unapoomba mahakama ya kadhi ihudumiwe na serikali, hapo tayari umeshaingia katika mfumo wa serikali. CAG itabidi akague fungu linafanyaje kazi na kama kuna ubadhirifu basi wahusika watafikishwa mbele ya sheria na wizara kama ya fedha zinatingia.
Ikifika hapo tutasikia madai kuwa serikali inainglia mambo ya dini na maandamano. Ikumbukwe kuwa serikali siku zote ni taasisi inayokuwa 'Regulated' na hivyo itaweka regulations kwa mujibu wa sheria. Hiyo mahakama inayodhaniwa itakuwa huru haitakuwa huru kwasababu mkono wa serikali umeingia kama ulivyoingia BAKWATA kwa makusudi au kwa uhalali na kisheria.
Tatu, kama ndoa inayofungwa na sheikh popote inakubalika na makubaliano ya jinsi gani ifanyike ni kati ya wana ndoa na sheikh wao, na kuwa serikali inatambua hivyo kwanini asiwepo kadhi ambaye kisheria anatambuliwa (labda jina la kadhi ndilo linahitajika) ashughulikie masuala hayo? Kama yupo anayekataa uwepo wa kadhi basi aniulize nimthibitishie.
Nne, kama waislam wanaweza kuhudumia misikiti na miradi yao kwanini iwe tabu kupata chanzo cha fedha kumhudumia kadhi.
Na ikumbukwe kuwa kama sheikh anavyofanya mazishi ya mtu kwa imani au kumfungisha ndoa au kusuluhisha mgogoro ndivyo kadhi anatakiwa aendeshe shuguli zake kwasababu ni sehemu ya ibada. Ima atawezaje kujikimu hilo linabaki suala la waumini husika kama wanavyoweza kumhudumia sheikh, kulipa bili za umeme na maji n.k. Ni kwa njia hiyo pekee waislam wataweza kuwa na vyombo vyao huru.
Tano, hoja na umuhimu wa kadhi ubaki kwa mantiki yake. Usifanywe kama simba na Yanga kwasababu hiyo ina 'adulterate' mamlaka na hadhi ya kadhi. Kazi ya kadhi sio mirathi ya kugawa mali. Kadhi anashugulikia mambo yote yanayohusu sheria ikiwa ni pamoja na mahusiano ya ndoa na kutafsiri sharia kama zilivyo. Ndiyo maana katika enzi za zamani ni makadhi waliokuwa na hadhi ya kuwashauri waumini wao juu ya tafsiri za ibada kama mfungo wa Ramadhani n.k.
Kufanya kazi ya kadhi ni kugawa mali(ambazo pengine hazipo) ni kutoelewa nini maana ya kadhi kunakochangiwa na kukariri maneno
Mwisho, suala la kadhi ni nyeti na lenye mantiki na hekima zake. Linatakiwa lishugulikiwe na watu wenye weledi wa hali ya juu. Kuliacha mitaani lizagae zagae na kila mmoja kuliandikia anachofikiri linapoteza mantiki kwasababu tu wapo waliokaririshwa kutoa hoja lakini hawawezi kuzitetea. Hoja ya kadhi inahusu imani na uhuru wa kuabudu na sio suala la fulani anapata hiki basi wale nao wapewe kile.
Sio suala la kugawana mali ni suala la kufuata sharia katika mambo ya kijamii ili kuleta utangamano katika ibada.
Sina uhakika kama atatoke mmoja wetu na kukuomba uthibitishe madai haya kwa kutumia katiba hii tulio nayo utaweza kuandika hata mstari mmoja. Kama utaweza basi nakuomba utupe ushahidi wa hizo values, traditions na morals ili nasi tufunguke.

................... mleta mada amejielezea vizuri kuwa: Ndoa ya Kiislaam inatambulika kisheria, Je kwanini kataika mirathi iwe ni suala lisilo tambulika kisheria ? Ndoa na Mirathi vinaweza kutenganishwa ? (elewa Kiislaam ndoa ni Ibada na kufanya mirathi katika misingi ya kidini ni ibada pia) na linapokuja suala la uchangiaji gharama ndio inakuwa nongwa. Kwani Kodi inalipwa na jamii moja au na wengine wanalipa ? kwanini jamii moja ijifanye yenyewe ndio ina ultimantum ? Hapa ndio makubaliano ya Wakristo na Serikali (MoU) yanapoingia, kwanini kodi ya Watanzania kwa ujumla wao zilipie Taasisi za Kikistro ? Katika hili jamii zingine zilihusishwa ? consider yourself that ur an Interllectual and u a now answering the above arguments !
Kama ndoa mliifunga kwa imani ya dini fulani, na kwa imani hiyo mnataka kugawana urithi tatizo lipo wapi kutumia taratibu za dini hiyo mpk mpelekane mahakamani? Ukiona mtu hataki utaratibu wa dini ktk kugawana mirathi basi ina maana haitaki na dini yenyewe. Huu ni utaratibu wa kulazimishana kufanya mambo kwa nguvu.
Mbona ndoa hamfungii mahakamani?
.............. kipimo chako cha kukosa umuhimu ni kipi ? kwa mfano katika mirathi husika "Mrithi" halali, amelazimishwa kugawana mali ya ziadi ya Tsh Mil 500, na mtoto wa nje, ambaye baadae inakuja kuthibitika huyo mtoto hata DNA hazikubali hilo unalionaje ?! Mtoa mada amesisitiza wachangiaji wawe Interllectuals, hilo umezingatia !?
Nikiwa kama msomi? Umejuaje nimesoma, nimesomea nini? Hahahahaaa...Sawa nilikosea - but still it is approximately 364,900 square miles! Meaning that the country is vast.Ukiwa kama msomi ungeweza kusahihisha kisomi zaidi badala ya kuuliza kuwa ni urefu wa kamba.Nimesahihisha!
Kama hakuna sheria inayozitambua mahakama za Wakatoliki then unatoa wapi mamlaka ya kudai "maamuzi yake yanaheshimiwa na sheria za nchi ... na serikali haiwezi kuingilia"? Kwa mujibu wa makubaliano ya mkataba gani?Kanisa Katoliki linazo mahakama zake ... Maamuzi yake yanaheshimiwa na sheria za nchi zilivyo sasa na serikali haiwezi kuingilia maamuzi ya mahakama hizo....Hakuna sheria yoyote iliyotungwa yenye kuzitambua mahakama hizi kwa sababu ni sehemu ya ibada ya Wakatoliki na hatuhitaji sheria ya Bunge ....
................... mleta mada amejielezea vizuri kuwa: Ndoa ya Kiislaam inatambulika kisheria, Je kwanini kataika mirathi iwe ni suala lisilo tambulika kisheria ? Ndoa na Mirathi vinaweza kutenganishwa ? (elewa Kiislaam ndoa ni Ibada na kufanya mirathi katika misingi ya kidini ni ibada pia) na linapokuja suala la uchangiaji gharama ndio inakuwa nongwa. Kwani Kodi inalipwa na jamii moja au na wengine wanalipa ? kwanini jamii moja ijifanye yenyewe ndio ina ultimantum ? Hapa ndio makubaliano ya Wakristo na Serikali (MoU) yanapoingia, kwanini kodi ya Watanzania kwa ujumla wao zilipie Taasisi za Kikistro ? Katika hili jamii zingine zilihusishwa ? consider yourself that ur an Interllectual and u a now answering the above arguments !
Ni kwanini waislamu hawawezi ku enforce laws zao wenyewe za kiibada kwenye mahakama zao mpaka wasaidiwe na serikali lakini madhehebu mengine ya dini yanaweza?Nikiwa kama msomi? Umejuaje nimesoma, nimesomea nini? Hahahahaaa...
Anyhow, sikuuliza kama ni urefu wa kamba, nilisema positively kwamba maili zinapima urefu, kama wa reli, kamba au ukuta wa China, sio ubukwa wa nchi. Ni vema umelielewa hilo la kulisahihisha. Na issue si ukubwa wa nchi, ni ukubwa wa gharama relative to uwezo wa nchi, US ni kubwa mara dufu ya TZ lakini inamudu mahakama zake kifedha. Sisi hatuwezi.
Kama hakuna sheria inayozitambua mahakama za Wakatoliki then unatoa wapi mamlaka ya kudai "maamuzi yake yanaheshimiwa na sheria za nchi ... na serikali haiwezi kuingilia"? Kwa mujibu wa makubaliano ya mkataba gani?
Halafu, serikali isipoingilia, nani ata enforce maamuzi ya mahakama, Wakatoliki au Waislam, au Walokole, wana dola?
Mbona hapo no.3 hutoa ref yeyote? Hakuna kitu hicho unachoongelea. Ukristo unatumia kodi za nani kujineemesha ? Wewe na wenzio mnapata wapi mandate ya kusema hili ni la ibada na halifai kugharamiwa!? Tukilitaka jambo Inshallah litakua tuu!Kama unajua mirathi na ndoa ni ibada unakubaliana na mimi kuwa ni suala la kidini. Je, Shule na Hospitali ni ibada ya KIKRISTO? Ubishi wenu ni wa kienyeji usio na vigezo wala tija na naamini unaletwa na wivu tu na si zaidi. Hebu rejea kauli yako halafu uone namna ulivyopotoka. "Ndoa ya Kiislaam inatambulika kisheria, Je kwanini kataika mirathi iwe ni suala lisilo tambulika kisheria ?" Una ushahidi kuwa mirathi ya Kiislamu haitambuliki kisheria au unaleta ubishi wa kienyeji?
Sheria ya Mirathi ya Tanzania imegawanywa sehemu 3.
1. Sheria ya Mirathi ya Kiserikali ya India ya Mwaka 1865 (Sheria hii hutumika kwa watanzania wote walioacha mila na desturi zao na ambao sio waislamu pamoja na watu wengine ambao sio wazawa.Mara nyingi huchukuliwa kwamba watu wanaokaa mijini muda mrefu wameacha kufuata misingi yao ya mila ya jamii zao,japo sio lazima sana mtu atakuwa maeacha misingi hiyo ya kimila ya asili yake.)
2. Sheria ya Mirathi ya Kimila (inawahusu wale ambao wameendesha maisha yao kwa utaratibu wa mila na desturi za koo na makabila yao. Inamadaraja kufuatana na koo na mfumo i.e Matrilinear au Patrilinear)
3. Sheria ya Mirathi ya Dini ya Kiislamu (Watanzania wote ambao itadhihirika kuwa wameacha mila na desturi zao na ambao Uislamu huwaongoza katika vipengele vyao vyote vya maisha yao,pamoja na watu wengine ambao sio wazawa lakini ni waislamu hupaswa kutumia sheria ya kiislamu katika mirathi yao) Hii sheria ndio inayotambua MIRATHI YA KIISLAMU, sasa unaposema haitambuliki ulitaka itambulike wapi, KANISANI?
Sasa kama una lingine sema, manake hii ndio sheria inayosimamia mirathi yenu sasa haya makelele ya kuelekezwa na watu ambao hawana elimu sijui yanalenga kupata nini. Tuwe na ubishi wenye tija. Na kama kwa mifano na maoni yooote haya bado hutaelewa, basi mna lingine sio hili mnalotumiwa kuzugia.
Madhehebu gani inaendesha mahakama?Ni kwanini waislamu hawawezi ku enforce laws zao wenyewe za kiibada kwenye mahakama zao mpaka wasaidiwe na serikali lakini madhehebu mengine ya dini yanaweza?
Hiyo ni mifano ya kuonyesha hayo mambo yanawezekana, ila yanaendeshwa kwa upendeleo, mmejaa roho ya kwanini!Na hapo ndipo inapoonesha kuwa wengi wenu are not really intellectuals.
Arguments zenu from the beginning zimekuwa za kishabiki tu badala ya intellect.
Wasomi wazima mnashupalia "tunataka mahakama ya kadhi, la sivyo MoU ya serikali na kanisa ifutwe".
"Tujiunge na OIC la sivyo ubalozi wa Vatican utoke hapa nchini"
Umuhimu wa Kadhi courts (kama upo) utaondoka MoU ikifutwa?
Umhuimu wa OIC (kama upo) utaondoka tukiondoa ubalozi wa Vatican?
Sasa hizo ndizo intellectual arguements zenu? Very funny...
By the way, unasemaje suala la mtoto wa nje kutotambulika na mahakama ya kadhi ilhali tunajua kuna vijana wengi tu wa kiislam ambao wanazaa nje ya ndoa? Nini itakuwa fate ya watoto wa nje watakaokuwa wametokana na vijana hao? Baba za watoto hao wataadhibiwa vipi iwapo Sharia law haipo kamili hapa kwetu? Now this time, jibu as an intellectual.
huna hiyo intelect otherwise ungetetea hoja zako badala ya roho ya kwanini! Hivyo kila mtu unamjua alichonacho eeeh ?! Nimekuwekea kipimo cha mtu anachoweza kupoteza ingawa hata mln 5, bado ni pesa pia! Jenga hoja usiongozwe na chuki na ubinafsi ! Hili ni kubwa kuliko mnavyofikiri na cc sio second class citizen ! Linaweza kuigharimu nchi!Sasa kwani ukilipeleka mahakamani hili shauri kwa muundo wa sasa hutopata hizo 500m? Halafu ni wangapi mnazo hizo mil 500 mapak mtoke mapovu hivi? yaani mirathi umeona ni muhimu kuliko huduma za afya kuwafikia watanzania wote wawe waislamu au la? Kwani mmeshindwa kabisa kuyafanya hayo mamirathi yenu bila kuishughulisha serikali kigharama? Mimi sio interllectual bali ni ''Intelectual'' yaani mtu mwenye ''intelects'' za kutosha
huna hiyo intelect otherwise ungetetea hoja zako badala ya roho ya kwanini! Hivyo kila mtu unamjua alichonacho eeeh ?! Nimekuwekea kipimo cha mtu anachoweza kupoteza ingawa hata mln 5, bado ni pesa pia! Jenga hoja usiongozwe na chuki na ubinafsi ! Hili ni kubwa kuliko mnavyofikiri na cc sio second class citizen ! Linaweza kuigharimu nchi!
Mbona hapo no.3 hutoa ref yeyote? Hakuna kitu hicho unachoongelea. Ukristo unatumia kodi za nani kujineemesha ? Wewe na wenzio mnapata wapi mandate ya kusema hili ni la ibada na halifai kugharamiwa!? Tukilitaka jambo Inshallah litakua tuu!
Hiyo ni mifano ya kuonyesha hayo mambo yanawezekana, ila yanaendeshwa kwa upendeleo, mmejaa roho ya kwanini!