VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
So alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yakoHivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili.
Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao kama kawaida, wenye haki ya kuamini wanachokitaka, bila kejeri na matusi kama ya wana wa Mungu?
Mungu wa wanaomuamini yawezekana hana heshima na yeye ndo wanajifunza huko!!!!
Wakati huo huo, wasioamini wengine wana maisha mazuri kuliko wanaoamini na kuabudu, wenzetu wanaoamini, Mungu wao kama mbaguzi na anawajali wasiomuamini, iweje waandame wasioamini? Si hiari yao?
Kwa akili zako unaona alifanya kazi ya maaana! Huo mua unaouona mtamu, kuna mwingine kwake ni mchungu. Kuna na mwingine haujui. Vinginevyo tungeuliza aliekupa mkongoto wengine wakapewa mashimo; au aliekupa akili finyu, wengine wakajaziwa. Nilichouliza mimi, nani ana haki ya kumdhihaki mwenzie kisa imani! We kama unaamini, ni juu yako, una sababu zako, na wasioamini, wana sababu zao.So alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako
Ndo hapo, sasa, nguvu ya kuwashambulia wenzao na kuwaona hawana akili, ndo najiuliza inatoka wapi! Mungu muweza wa yote, mbona anawajalia wasiomuamini, wanaomuamini wanashindia majonzi na kuamini ipo siku!Wanajiona wana monopoly of truth.
Ukiamini Mungu wako ni wa kweli ni lazima uamini uko kwenye upande wenye monopoly hii.
Point dhaifu,ever seenSo alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako
Kuna maembe hayana sukariSo alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako
Hata huo mua anaousifia kuwa na sukari, kuna mwingine akiutafuna, kwake hahisi utamu, bali uchungu. Atamshawishi vipi!Kuna maembe hayana sukari
Ndo hapo, sasa, nguvu ya kuwashambulia wenzao na kuwaona hawana akili, ndo najiuliza inatoka wapi! Mungu muweza wa yote, mbona anawajalia wasiomuamini, wanaomuamini wanashindia majonzi na kuamini ipo siku!
Hakika. Sasa,kama hapa, mtu hajaelewa swali, hajaomba hata aeleweshwe ndo ajibu, ila msitari wa kwanza kuleta wazazi. Kisa tu anaamini, basi anaona amemaliza kila kitu.Unauliza swali la kutumia logic.
Ila wao wengi wame suspend logic.
Hawatumi logic wanatumia imani, ni vigumu kukuelewa.
Kwahiyo unadhani uchungu, uchachu, uchawi na wizi viliumbwa na babako?So alietia sukari kwenye miwa na maembe ni baba yako