Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Ndoa ni mipango, ukipanga muoa fulani, muingie akili mwake, mbadili akili.
Mbona CIA wanaweza kuingia akili mwa watu na kuwabadili na kuwafata wao kwanini sisi tysiweze?
 
shosti kumbe kimwanaume kinaogopa degree..ukiwa nacho ni majanga unakuta kinaogopa mende pia...sasa utakaanacho kweli?

hatuogopi degree tunawaogopa kuwaweka ndani wanawake wenye hizo degree ila kwa michepuko wanafaa ndio maana wengi wao ni single moms
 

Yani kweli kuna umuhimu wa kurudisha jando, wanaume mmesahau wajibu wenu....
Kwanza hamna kuoana, mwanaume anaoa na mwanamke anaoleawa....mwanaume ndo mtenda na ana wajibu wa kumtimizia kila kitu mkewe....

Hebu fikiria, tunaamka asubuhi tunaenda wote kazini, nirudi nikupikie, nikufanyie usafi, usiku unimong'onyoe, tena kwa kunibinua staili zote, na huku unataka mauno ya kufa mtu.....mimba nibebe mie na kwa uchungu nizae....
Mimi ndo niangalie watoto na kutunza nyumba...we ukitoka kazini unapitia baa au unarudi nyumbani uko busy na tv....
Halafu mwisho wa mwezi unausarandia mshahara wangu.....hahaaaa!
 
mie kubishana na mwanamke mwenzangu siwezi....ngoja nitafute mashababi ya ukweli


wewe na kadegree chako utabaki kuwa chakula cha waume za watu
matusi yako kwangu mavi tu
 
tujenge kwetu basi mimi na wewe.

we haya maandiko yana maana gani ?mathayo 19:6 6 Hata wamekuwa si wawili
tena, bali mwili mmoja. Basi
aliowaunganisha Mungu,
mwanadamu asiwatenganisha.

na mm nikijenga kwetu tutajenga lini kwangu mimi na wewe ?

Mnamaanisha ninyi wazazi wenu hamuwahudumii?
 

Kwa raha zetu tunafaidi maujanja ya malavidavi ...mtaisoma namba na ma screen touch , na vipedo mbano vyenu.
 

Attachments

  • 989.jpg
    20.6 KB · Views: 299
Mmajishaua na kujishebedua baada ya kuwa magolikipa wa kudumu manungayembe mnatafuta sababu kuretaliate kwa kukosa kuolewa bibi bahati ya mwenzio usiipandie basi ukaenda mbagara wenzio wako bokoooooo
 
U
Umefikiria vyema basi binti zako wote, dada zako wote usiwapeleke shule kabisa hao wasiposoma ndiyo waatakuwa na market nzuri zaidi katika soko la kuolewa
 
wewe na kadegree chako utabaki kuwa chakula cha waume za watu
matusi yako kwangu mavi tu

heee heee unalo bibi we! bora mie mwanamke na degree yangu kuliko we mwanaume na tigo yako haina rinda..shutuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…