Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4


huo ni uwongo mtupu. Wanawake wa siku hizi hasa nyinyi mnaojiita wasomi mnapika?
Na hg anafanya nn? Mnajifanya mpo busy na kaz kumbe mnagawa kwa mabos wenu maofisin.
 
hapa hakuna cha inferiority,kukimbia majukumu au kuwaogopa wanawake...kilichosemwa ni ukweli mtupu na kipo kwa asilimia kubwa kwenye jamii zetu..INGAWAJE SIO WOTE ILA KWA KIASI KIKUBWA WANAWAKE WASOMI INAPOKUJA KWENYE SUALA LA MAISHA YA NDOA NI TATIZO..TUKATAE TUKUBALI HIYO NDO HALI HALISI
 
kila mtu na bahati yake wakuu, kuna wanawake wenye phd ni wake wazuri ever.. binafsi wife wangu ni kidato cha nne na hajielewi kama mke na utata usioisha sasa sijui itakuwaje akipata walau certificate tu?
 
Mwanamke akijengengewa msingi toka utotoni kwa wazazi wake, ndivyo atavyokuwa, no matter education she has...

Mwanamke huyo huyo anaweza kubadilishwa na makundi ya marafiki(wanawake) wenzie atakaokutana nao katika level ya elimu anayoichukua, na ikawa ndiyo lifestyle yake ya milele...

Kiufupi ni kwamba mwanamke ni kiumbe ambaye ni mwepesi sana kubadilika... no matter the age!

Kama ni mafunzo, basi mwanaume ana jukumu la kumfunza mkewe/gf/mchumba kitu kipya ama kumfunza upya kitu cha zamani...

Ukiona somo unalompa mwanamke halimuingii wala hafundishiki, fahamu kwamba wewe si mwalimu mzuri..

au...

wewe si chaguo lake, inshort hamuendani.

Naamini mwanamke (Achilia mbali suala la elimu japo lina matter sana) katika ngazi yoyote ile, atabaki kuwa mwanamke tu, na atafuata rules and regulations za head of the family...

Tatizo huja pale Elimu na Elimu zinapooana, maelewano yanaweza kosa kabisaaa kwa sababu kila mtu anajua!

Shangaa sasa pale mwanamke mwenye masters (kwa mfano) anapoolewa na kidume ambaye hata la saba hakugusa! mambo yanaenda kabisa japo wizi unakuwepo...
 
Ebwana ee, wakuu hawa wanawake waliosoma sio kabisa, mimi mwenyewe nimesoma nimsomi na nina kazi yangu nzuri tu, nakumbuka nikiwa university moja hapa nchini kuna wanawadada walikuwa wanaliwa uroda hadi kwenye makaburi, tena vibaya na walinzi security guards wa compus hebu fikiria afanye mauchafu na mtu mwingine aje leo anishikie au anibinyie pua yake mm sahau.Nilipata mchumba wangu mmoja ebwana ee kumbeanadate nimchizi mmoja bwana na mm mwenyewe si ndo ndo instructor wa kupata michapo? nikaachana nae na nilipanga fanya mambo mengi nae, Nimepatamchumba wangu mzungu si akaenda kumgombeza siku moja mpaka yule dada akaamua kuondoka tanzania kwenda kwao germany ,hicho ndicho ninachosema hawa watu sio wazuri kabisa maana kama alikua anataka ndoa angeheshimu basi, sasa hivi kujipendekeza kwingiii, alah hapa ntampa displine mpaka ashike adabu
 
Wa form 6 na chuo unawapiga nya.mbu tuu kisha unawaacha wanatembea zao
 

Sasa hapo kuna haja ganiya huyo mwanamke kwenda kazini si bora akae nyumbani akiangalia majukumu ya nyumbani fu?
 
Duh! hilo jiweee haya ambaye amejeruhiwa utasikiaaaaaa niko pembeni hapa naangalia
 
Pole sana mkuu ndo wasomi hao ukimsomesha mwanamke umesomesha jamii nzima
 
huwa najiuliza wanawake wanahitahiji nini hasa ili watulie wajue wanapendwa
 
Ni kinyume chake mzee, Think like a man,Ukisome hawa watu umedidimiza tunu zote za taifa
 
Ni kinyume chake mzee, Think like a man,Ukisome hawa watu umedidimiza tunu zote za taifa
kinyume na hapa uki-think like a man si unakuwa bushoke kabisa
 
da hawa watu ni bangua bongo tutakua ni hit and run tu lazima wakae:llama:
 

umenena vema, nikipata mke kama wa type ya maelezo uliyotoa maisha yatanyoka,.... kumfanya mwanamke kama punda la mwanaume ilikuwa zamani
 
umenena vema, nikipata mke kama wa type ya maelezo uliyotoa maisha yatanyoka,.... kumfanya mwanamke kama punda la mwanaume ilikuwa zamani
hicho ndo kinachowaharibu
 
na wanaume wanao oa ni wale wenye elimu zao. sasa kama wewe uliogopa umande, au uli-disco pale CBE itakuwa shida hata kumpata huyo wa darasa la 7!
 
Ni kweli mkuu, wanawake wengi wenye elimu ndo wenye kiburi. Lakini hilo halitokani na elimu zao bali ni kiburi kinacholetwa na kuwa na hakika ya maisha. Kuwa na vipato vyao binafsi.

Sasa hapa mshahara ndo unaleta dharau, ni kama familia ya kambale baba sharubu, mama sharubu mtoto sharubu. Hesima itatoka wapi?
 
Ni kweli mkuu, wanawake wengi wenye elimu ndo wenye kiburi. Lakini hilo halitokani na elimu zao bali ni kiburi kinacholetwa na kuwa na hakika ya maisha. Kuwa na vipato vyao binafsi.

Sasa hapa mshahara ndo unaleta dharau, ni kama familia ya kambale baba sharubu, mama sharubu mtoto sharubu. Heshima itatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…