Hapo kwenye bold jibu ni YES...maana hiyo ndio definition ya love kwa Watanzania...mkiona watu wanapendana mnakimbilia kwenye conclusion ya limbwata...
Wewe ndio una kremu...unataka kunambia ofisi zote wana vikao kuanzia saa 11 jioni? au wanasafiri mara 14 kwa mwezi? au lazima kila familia iwe na gari 2 na lazima zitumike zote kila mtu na yake? Au siku mume anarudi safarini basi wife aendi kazini anasubiri kumpokea? Ueleweki...
Ukijibu haya basi mimi naigiza...
Hata mjinga hujiona yupo sahihi kwa afanyalo
hivi kwani ofisi zote zipo sehemu moja ?
je kila familia ina gari ?
Hiyo mume anarudi safarini mke ampokee ndio inahitajika.
Umeamini kama unaigiza ?
nimekupenda.Wewe ndio mwanaume halisi.
Hata mjinga hujiona yupo sahihi kwa afanyalo
Unaongelea mji gani Dar au Tokyo? Kama Dar ofisi zote ziko posta with very few exceptions...
Na hata kama nafanya Ubungo what is the difference...nitoke kazini saa 8 kumuwai mume?????
na ninawaombea watoto wangu wasijekutana na mwanaume type yako ni hopeless.
Maisha magumu bana siku hizi wanaume wanataka pesa hivyo tunakimbilia wenye degree!
Hivi ukiwa unahudumia kwenu na mwanaume ahudumie kwao nyumbani mtakula nini ?
Ndio Haki sawa inarakiwa itumike hadi kwenye pesa sio mda wa kurudi na mambo mengine tu
Hapa unjionesha dhahiri unaigiza ofisi zote au ofisi nyingi ?
je wanandoa wote wanafanya kazi posta dar hii ?
je ambao mume mfanyabiashara mke muajiriwa inakuwaje?
nimekwambia usiigize ongea hali halisi
Bigup gal. Wanaume wanapenda wanawake wakuonewa.
Hii topic imenivutia sana.
Hata mimi mama yenu ameishia la saba B.ila niko naye mwaka wa 37 huu. Hatujawahi kusumbuana kitu kikubwa sana.
mwanaume halisi siku zote anajitahidi kufanya kazi atimize mahitaji ya nyumbani sio ategemee pesa ya mkewe.Muache mke aamue kutoa pesa yake kwa ajili ya familia maana hata sheria za nchi zimeeleza wazi jukumu la kuitunza familia ni la baba.
Unajua maana ya kuigiza???
Nachoandika siongelei maisha ya mtu mwingine hivyo stop forcing me kuongelea watu wengine...
Hayo ya mume mfanya biashara sijuhi nini hayanihusu..naongelea real situation yangu (wewe ndio unataka nianze kuigiza kwa kuwajibia wengine)
Wewe tulia na darasa la saba wako...waache wenzako wenye wake madaktari na wao watulie kivyao...pili pili usoila yakuwashia nini...au kimoyo moyo unaona gere?????
Unaisoma kimya kimya...
Tena nyie waleta mada kama hizi wake zenu hawajasoma...sasa kwa nini mnawasemea wengine? Mna ji console eeeehhhh