nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
sio kweli kabisa kwa nini asirithi akili ya baba ?
labda nikutajie sababu kwa nini nitaoa golikipa
1: Nitakapomuhitaji nitampata kwa wakati wowote kwa vyovyote unavyofikiria wewe
2: Kuchelewa nyumbani kwake lazima kuwe na sababu hata kutoka tu nyumbani mpaka niwe na taarifa
3: Malezi ya watoto kwa asilimia kubwa nitakuwa nina uhakika wa usalama wa wanangu kwanzia malezi hadi chakula tofauti na beki 3
4: Chakula nitapikiwa na mke wangu tu ndio sababu ya kuukacha ubachela
5: Visingizio vya simu vya mara kwa mara hakuna oo mara bosi kapiga oo nimeitwa kazini sitaki mke wangu mali yangu
6: Heshima ipo baadhi ya wanawake wakipata kadegree ni kuanza kutukana wanaume hata wasio wajua kama huyo shosti wako
7: Majukumu ya kifedha yote yatakuwa juu yangu hivyo nitakuwa sipigii mahesabu hela kutoka kwa mke wangu. Maana baadhi yenu hela zenu mnawekeza kwenu badala ya kwako
nyumba kubwa we ni mhaya,i'm sorry nimeunganisha kwa dots,hata isingekuwa hivo,wanawake wenye elimu hata kama wametoka sitimbi lazima wawe pasua kichw,je kwa wahaya ambao bila kujivuna na kiburi je mwanaume ambaye hawajui atakuwa na uvumilivu gani?.......mwanake ukitaka familia bora na umesoma sana inamisha kichwa jinyenyekeze
Unauliza kwa nini wakati ni nature?
But again do you real care? What if they are all girls? si bora wawe wajinga kama mama yao ili waolewe...
poa,kwahiyo we ndo kichwa cha nyumba?Huo upuuzi wa kwenye bold ndio sifanyi...sina tabia ya ku pretend kabisa...na sina shida na ndoa yangu...
Wanaume type za mleta mada (na wenzie) zinajulikana ...na nilikuwa nazikwepa kama ukoma...
Na sijajifunza kujitambua shule...ndivyo nilivyokuwa raised na wazazi wangu hasa baba kuwa mimi si mtu nusu...am as good as men...
Huo upuuzi wa kwenye bold ndio sifanyi...sina tabia ya ku pretend kabisa...na sina shida na ndoa yangu...
Wanaume type za mleta mada (na wenzie) zinajulikana ...na nilikuwa nazikwepa kama ukoma...
Na sijajifunza kujitambua shule...ndivyo nilivyokuwa raised na wazazi wangu hasa baba kuwa mimi si mtu nusu...am as good as men...
poa,kwahiyo we ndo kichwa cha nyumba?
Hakuna kichwa wala mkia...we are partners, lovers and the like...
Hivi mwanamke usipojinyenyekeza kwa mumeo utajinyenyekeza kwa nani ?
Ndio maana ni michepuko au mnaoa marioo.
Mwanaume kabisa una maisha yako mazuri ukitaka mifano nitakupa ukaoe mwanamke anayefanya kazi mnaondoka asubuhi unawahi kurudi nyumbani mke humkuti hivi inaingia akilini ?
Mmi aah la saba sina niendako mbona Mungu alijua shida ya moyo wangu degree nawaweza wapi ya nni niwekewe ratiba
mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani
mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani
Utarudi nyumbani mke umkuti kama ni house wife...
Hiyo ai apply kama wote mnaenda na kurudi kazini pamoja...kama miye na the love of my life...
mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani
Hakuna kichwa wala mkia...we are partners, lovers and the like...
hivi wote mtafanya kazi sehemu moja ? hapa unaigiza
Safari za kikazi je ?
mkeo hana vikao ?
Hebu usituigizie hapa rudi kwenye maisha halisi
sijakuuliza kuhusu vifungu vya dini nadhani yupo aliyeuliza atajibuHapa tutakesha kwani hata hivyo vitabu vya dini aliviandika nani...KE au ME...?
Nyumba yetu imesimama kwenye love... si kichwa (mi amri), wala mkia (kujishusha mpaka uvunguni)