Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Lakini waume wanakiona cha moto huezi msemea atasifu tu
mkuu hao wa masters waume zao huwa hajielewi,yaani mazezeta hivi,uone mwanamke kaolewa na mtu mwenye elimu ndogo kuna utata pande zote
 
kwa hicho kimshahara cha laki 2 unachokitegemea lazima ukimbilie wa form 4

dada siwezi kukuooa mimi dereva wa bodaboda
we subiri mume kama utapata bosi
 
dada siwezi kukuooa mimi dereva wa bodaboda
we subiri mume kama utapata bosi

kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?
 
Well said. Asante sana.
 
kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?

Wanaongea tu kwa vile wamekosa wakubali tu ukute hata degree hawaijui cha muhimu love tu
 
kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?

Sio kweli. Kwani hiyo kitu huko chini nayo inakuwa na degree? Kwa hilo mwenye degree na ambaye hana zote kazi ni moja.
 
mwenye elimu siku zote ndio anajua umuhimu wa elimu wasiokuwa nayo hata umwambieje hawezi kukuelewa.
shukuru mungu kama umeolewa na kisomo chako na ndoa imetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…