Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
Hamna aliye paniki hapa hoja tu wala hukuulizwa ufanye introduction ya unayoyafanya hayatuhusu sisi mana niliona unatetea vitu visivo na mantinki otherwise na doubt elimu yako haijakukomboa kifikra rather than vyeti hata mti hujulikana kwa matunda yake badala ya kujibu hoja unakuja sijui na nini na makorokocho sasa si ndo umepaniki aisee ha ha ha dunia ina.mambo hata uelewa na uchanganuzi wa mambo wonders shall never end
ukweli warembo wengi waliosoma sio wife materialtusipende kukariri vitu, au ku conclude kutokana na yale tuliyoyaona kwa mtu fulani kila sekunde na dakika vitu vinabadilika,aliyepita jana njia fulani na akafika salama wewe unaweza kuipita leo ukakuta kumbe haipitiki tena
ila jitetee wewe na usiwatee wengine
mwanaume wa ukweli haogopi kuoa mwanamke mwenye degree
Kumbe mleta mada ni mwoga?
Hahahaha kiukweli mwanamke ukishamlaza kitandani vizuri wala hakumbuki kasoma chuo gani na anamiliki digrii ya nini. Mshahara unawekwa mezani mnapanga majukumu kwa pamoja. Tunachokosea wanaume ni kutojua mwanamke anataka nini..... baaasi.
mkuu umeongea point,wakishapewa mimba wakazinguliwa ndo utaona ile kiburi ya usomi inaisha na kujiweka wife material ila ishakuwa too late.tunakosea kwa sababu hata wao wenyewe wanawake hawajui wanataka,nini hasa... Ila wakishakosea na kumsingizia shetani ndio alimpitia ndio hapo sasa mwanamke atajua anataka nini... Na akishajua anataka nini basi itakusaidia wewe mwanaume kumpatia anachotaka kama bado upendo utakuwepo!
mi degree ya mtu naheshimu ila point langu ni kwamba wanawake wasomi wengi si wife material wana kiburiLazima tuseme ukweli penye uhalisia mtu hawezi.kukurupuka na kuongea uzushi degree za chupi sijui nini kugawa how does it relate na wife material kwahyo chuoni watu hawasomi ni kufanya hivo vitendo na unakuta course za lecture tofauti na hapo inakuwa mtu mpende mtu na vigezo vyake na kama moyo umempenda basi iwe la saba big result au phd cha.msingi mumependana na mumeendana hayo ya kuingiza kashfa ni.kukosa point tu za kutetea hoja iwe na mashiko lazima to argue kama.ma thinker sio unakuja na harsty generalization ya kitu bila reaserch hiyo inakuwa false
nikuoe we wa chuo na kiburi nikupeleke wapi si kujiongezea mizigo tu
nikuoe we wa chuo na kiburi nikupeleke wapi si kujiongezea mizigo tu
ukweli warembo wengi waliosoma sio wife material
by the way hujapokea pole yangu nilokupa na kubakuliwa bila mpangilio au kwako haikuwa hvyo
Jibu ki hoja sio kuingiza mambo ya kubanjuliwa wewe huoni haya dume zima aibu huna umebakiza kubakuliwa tu aibu yako sipewi pole na mwanaume anaye tumia makalio kufikiri badala ya kichwa unawaza kubakuliwa tu
mi degree ya mtu naheshimu ila point langu ni kwamba wanawake wasomi wengi si wife material wana kiburi
mkuu mwanamke mwenye degree mpaka anahesabu kapika siku ngapi kwenye wiki