Hahaha naona unamkimbia mume mchana kweupe. Haka ka bibi yako sijui nikanyang'anye kadigrii kake??
mi sitaki kuolewa hadi nishuhudie ya kwako au umeamua kuishi naye tu bila ndoa?????kweli bweg.e yaani wewe ndio uniharibie siku hizi?
kwanza sijawahi kuharibiwa siku
we stress zako za kutokuolewa unaniletea mimi
utabaki kuwa mchepuko
Hapo kwenye tigo hapo.....
kwani sisi tunajisomesha ?
mchepuko material reply
we dada yako unamlinda vipi?
Duh.... huyu ni yule demba nimjuaye au nimsubiri mwingine??
Njoo nikupe tigo
sasa ni nani atakaye taka kuolewa na kivulana empty headed ka wewe....unatitia kinyaaaa...mchweeee!!!!
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
mi sitaki kuolewa hadi nishuhudie ya kwako au umeamua kuishi naye tu bila ndoa?????
mie mchepuko wa kudumu milele na milele we olewa tu, usinigeze mimi
Bora uwoe std seven au form ujue matumizi ya nyumbani ni juu yako kuliko kuoa degree ukitegemea mtasaidiana maisha mwishoni hata mshahara huujui sh.ngapi na hata hachangii chochote