Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Wenye degree hamfai na degree zenu.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.

Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.

Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?

Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
 
kweli kabisa huwezi kulioa janamke lina masters yake halafu ukampangia sheria nyumbani akakubali atataka kila kitu haki sawa
unajiolea zako wa 4m4 tabu hana yeye ndio mzee we ndio baba ake baby wako na kila kitu nyie wenye degree subirieni 30's huko mdandie waume za watu a.k.a michepuko
 
Bora uwoe std seven au form ujue matumizi ya nyumbani ni juu yako kuliko kuoa degree ukitegemea mtasaidiana maisha mwishoni hata mshahara huujui sh.ngapi na hata hachangii chochote

Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
 
Acheni dharau...ninachokijua kila muoaji ana sifa zake kwa mtu amtakae!!labda hiyo ni choice yako viol..hongera
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
mtvbase dili limeparanganyuka
 
Last edited by a moderator:
acheni uwoga wa bure mwanamke ata awe na elimu gani hapa duniani mwesho wa siku all she will do is spread legs simple wala usiogope . na ukishindwa dominate a woman u aint a man enough
 
acheni uwoga wa bure mwanamke ata awe na elimu gani hapa duniani mwesho wa siku all she will do is spread legs simple wala usiogope . na ukishindwa dominate a woman u aint a man enough
mkuu we huku unajulikana kama rais wa kugegeda,je mwishoni kwa comment yako utaweza kweli kumgegeda mke wa obama?unajidanganya bro
 
Back
Top Bottom