Wanaoogopa picha hizi, (wenye TRYPOPHOBIA)

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,842
Habarini Wadau,

Ni kwanini watu wengi inawatokea hali ya kuogopa vitundu vingi vikiwapo mahali pamoja? Wazungu wanaita Trypophobia au fear of the holes. Uogopaji wa vitundu au vishimo.

Ni nini hasa kinasababisha Watu wengi bila kujali makazi au asili yao kujikuta wanaogopa na wengine wanasema wanavikinai hivi vitundu?

 
Ni vitundu vya nini! Wanaviogopa au vinakera kuvitazama?
 
Kwa upande wangu vinavutia sana.
 
Sijakiona cha kunikera hapo
Vyote naona vinavutia tu.
 
Aaaaghhh ni sawa na nikiangaliaga lundo la nyuki. Kuna hali flani hunijia ya kukereka moyoni
 
Usiombe mkono uanze kutoboka toboka, maumivu yake ni jehanamu usiku kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…