Hahahahahahaaaaa hii ni kweli mkuuMpaka sasa unashika rekodi ya uzi mfupi 2019.
Hivi ni wapi naweza kutuma maombi ya kazi ya unyongaji?
Sio siri huwa naitamani sana hiyo ajira.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikutafutieMshana Jr ile story iliishia wapi, hebu endeleza basi
Kwa siku 10 nzima bado imevunja rekodiMpaka sasa unashika rekodi ya uzi mfupi 2019.
Kabrasha chumba cha kunyongea - JamiiForums hii hapaMshana Jr ile story iliishia wapi, hebu endeleza basi