Wanaonyesha matiti kutofungishwa ndoa

Wanaonyesha matiti kutofungishwa ndoa

Wazo hilo ni potofu sana. Hivi mtu akifunika manyonyo na mgongo kwa mtandio kwa dakika 60 na baada ya hapo akavua, itakuwa imesaidia lolote!
 
Nilifikiri its all about 'roho ya muumini'
mwili wake sio kitu au?
 
Nilifikiri its all about 'roho ya muumini'
mwili wake sio kitu au?

Ha ha ha Mkuu The Boss its all about roho iliopo katika mwili uliocitiriwa vizuri na vazi kwenye sehemu muhimu.. Umesahau maneno ya Bwana Yesu ya "kila atazamae kwa kutamani na amekwisha kuzini".. Imagine mapadri wangapi wamekwisha zini kwa mtazamo wa maneno hayo..?
 
Back
Top Bottom