wanaondikia kushoto na adhabu za walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaondikia kushoto na adhabu za walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Lokissa, Jan 20, 2011.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  WanaJF hebu tujikumbushe wakati tunasoma shule za msingi walimu walikuwa wanawachapa sana wanfunzi wanaoandikia mkono wa kushoto kisa ni utovu wa nidhamu.Utafiti unaonyesha wengi wanaondikia mkono wa kushoto wa vipaji fulani vya muhimu na pia wana akili pia.Je ni kuwa walikuwa hawajui haya au ni umbumbu wao kuwa kuandikia mkono wa kushoto ni makosa? asilimia kubwa ya wazungu niwajuao na ninaoishi nao wanaandikia kushoto kwao wanaheshimika.Hebu tupeane michango.We unaonaje kuhusu hili??
   
Loading...