Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,489
- 220,124
Naona eti wamekuwa wazee wa busara.....😅😅😅Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini , ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba , ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini , hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote ?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya , basi waendelee kunyamaza , Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine .
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja .
Umbea ndio raha yako🤣Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini , ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba , ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini , hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote ?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya , basi waendelee kunyamaza , Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine .
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja .
Husikii viongozi wa dini wanampigia simu Membe. I can assure you tukiendelea na hii style ya uongozi yaki JK/Sa100 basi kiongozi kama JPM atakuja tena uwoga wangu ataua kweli maadui wake. Tunahitaji marekebisho makubwa kama Jamii tuendeleze haki, umoja na ukweli vitu vinavyokosekana kwenye vyama vya siasa kwasasa.Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini , ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba , ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini , hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote ?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya , basi waendelee kunyamaza , Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine .
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja .
Baada ya haya kuisha itabidi mkuu Maxence Melo naye amshtaki Musiba kwa kumchafuaNimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini , ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba , ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini , hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote ?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya , basi waendelee kunyamaza , Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine .
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja .
Ila sijaona andiko lolote kuwa Yesu alimwombea mtukanaji asamehewe. Msamaha ni gharama huyo mkuu Yesu alitugharamia iweje huyu asamehewe kirahisi hivyo? Wakati alisha pewa nafasi na akawa jeuri mpaka pilato kaweka sawa haqhk bin haqhk.Hata Yesu aliwatetea waliodhaifu
Bali hakutetea wahuniHata Yesu aliwatetea waliodhaifu
Even if Melo is not interested , sisi tutaingilia kati ili kufundisha adabu huyo mjinga Musiba .Baada ya haya kuisha itabidi mkuu Maxence Melo naye amshtaki Musiba kwa kumchafua
Hakuna kiongozi wa dini, hao nao ni wahuni na matakataka kama msibaNimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Wakati hayo yakijiri hapa Mikocheni, tayari kampuni ya Yono imeshatua jijini Dodoma itakapoanzia kazi ya mnada kwa kuanza na apartments za Musiba zilizoko Ihumwa, nyumba yake ya Chamwino, guest house yake ya Msalato na shamba la hekari 10 njia ya Singida.Mali zikiisha kabla ya kumaliza deni, aolewe, jinga kabisa
Nimewadharau sana hawa makada wawili wa CCM Kadinali Pengo na Askofu MalasusaNimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Swadakta !!!!!Hakuna kiongozi wa dini, hao nao ni wahuni na matakataka kama msiba
Hivi Sabaya hana kesi ya madai ya kujibu? Kama kapata upenyo katika kesi ya jinai na hatimaye kuachiwa huru, basi kama bado ana tuhuma za kujikwapulia mali za watu kwa kutumia vibaya madaraka yake na kujimilikisha, ni vyema naye yamkute pia yaliyomkuta Musiba.Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Kwa malu zitazotaifishwa atakua masikini huyu mwambaNimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?
Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.
Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Mbona humtetei?Umbea ndio raha yako🤣