Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Naunga mkono hoja.Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.
Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.
Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.
Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.
Maendeleo hayana vyama!
Amina kamanda!Naunga mkono hoja.
Hahahaaaa.......!John katika ubora wako
Chuki zako dhidi ya hayati JPM zinajulikana.Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Ata nyie msiompenda magufuli mshaurini mungu wenu wa jela afuate nyayo za magufulu mtavuna viti vingi vya wabunge pengine ata kuchukua nchi.magufuli ni kama maji 2025Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Kabisa mkuu.Chuki zako dhidi ya hayati JPM zinajulikana.
Hakika bwashee!Ata nyie msiompenda magufuli mshaurini mungu wenu wa jela afuate nyayo za magufulu mtavuna viti vingi vya wabunge pengine ata kuchukua nchi.magufuli ni kama maji 2025
Chadema inaelekea keko kuanzisha makazi mapya.Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio bwashee!Mkuu, na wewe unataka kusema kuwa, unaamini WAPIGA KURA wa Nchi hii ndio wanaoamua WACHAGULIWA?
Bwashee Godbless Lema ameweka itikadi pembeni na kukiri umeme haujawahi kukatika wakati wa Magufuli!mataga pori mnanyukana kweri-kweri
weka hapa sauti yake tusikie neno kwa neno.Bwashee Godbless Lema ameweka itikadi pembeni na kukiri umeme haujawahi kukatika wakati wa Magufuli!
Mtajuane wenyewe huko ujinini,hata ikibidi uaneni kabisaHadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.
Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.
Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.
Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.
Maendeleo hayana vyama!
Wacha mafisi yauane tumataga pori mnanyukana kweri-kweri
Sauti ya Itikadi au?!weka hapa sauti yake tusikie neno kwa neno.
ya mke wa mzee mgaya.Sauti ya Itikadi au?!
Mafisiem bana eti yanategemea kiumbe kilichoko motoni kije kuwaokoaMagufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Hahahaaaa...... Tayari!ya mke wa mzee mgaya.
Mataga lazima muungane mikonoNaunga mkono hoja.