figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,700
- 59,210
Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao.
Furaha ipo wapi?
Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto?
Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha..
Binadamu njia yetu ni moja. Hata ukituua hautatumaliza. Utakufa utaacha vitukuu vyetu vikitetea haki zao. Wadai haki hakuna mwenye uwezo wa kuwateketeza