Wanaomkosoa Magufuli wako mtandaoni tu

Wanaomkosoa Magufuli wako mtandaoni tu

Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.

Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma cha pua) kwa mambo mengi mema aliyoyafanya.

Hawa vidampa na mafisadi sugu waliojibanza mitandaoni ndio wanaorusha vijembe dhidi ya Magufuli.

Unakuta fisadi moja linamiliki ID's saba zenye maudhui na malengo mfanano ya kumchafua jemedari. Kazi yake ni kubwata na kufoka.

Fisadi lenyewe limebebelea mavyeti feki. Eti na lenyewe linataka ajira!

Nitoe indhari kwa Rais Samia awe makini sana na hawa mafisadi sugu. Wengi wao ni wale oya oya wanaopenda kudoea doea na kufanya janja janja.

Ahsante.
Kweli kabisa; ila watu wenye upeo wa kuona mambo na kukosoa ndiyo hao hao waliopo mitandaoni. Mzee mmoja maarufu hapa nchini alipata kumnukuu baba yake akimuasa kuwa awaogope sana watu wajinga kwani wapo wengi duniani. Ni kwa wingi wao huo watu wajinga walimuona na kumtukuza Magufuli kama mtu wa maana! Lakini ukweli ni kwamba ilikuwa ajali mbaya sana nchi hii yenye historia iliyotukuka kutoa kiongozi kama huyo. Bahati mbaya aliwajaza wajinga bungeni na serikalini; vinginevyo sasa hivi tungekuwa kwenye mjadala mzito kujitathamini tulikosea wapi na tufanye nini.
 
Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.

Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma cha pua) kwa mambo mengi mema aliyoyafanya.

Hawa vidampa na mafisadi sugu waliojibanza mitandaoni ndio wanaorusha vijembe dhidi ya Magufuli.

Unakuta fisadi moja linamiliki ID's saba zenye maudhui na malengo mfanano ya kumchafua jemedari. Kazi yake ni kubwata na kufoka.

Fisadi lenyewe limebebelea mavyeti feki. Eti na lenyewe linataka ajira!

Nitoe indhari kwa Rais Samia awe makini sana na hawa mafisadi sugu. Wengi wao ni wale oya oya wanaopenda kudoea doea na kufanya janja janja.

Ahsante.
Asiyekosolewa ni Mungu tu.
 
Tundu Lissu juzi alipoona hotuba yake imedorora ikabidi itaje jina la Mwamba Magufuli na Uwanja wote ukalipuka kwa shangwe.
 
Wewe unayejua weka ushahidi hapa! Kwamba aliyehusika na mauaji hayo ni Magufuli.
Mbona ni kitu simple tu, thibitisha hapa, tufunge mjadala.
Sitaki story za vijiweni.
Nawe tuwekee ushahidi wa shetani wako kujenga hata mita moja ya barabara mnazosema "....kajenga".
 
Hii Ndiyo Tanzania ya Sasa, Tanzania ya Magufuli.

Screenshot (54).png
 
This is a logical fallacy called argumentum ad hominem.

Badala ya kuchambua hoja za mtu, unamshambulia mtoa hoja.

Ni dalili ya kukosa hoja kwa anayefanya mashambulizi.

Ni dalili ya kuwa emotional zaidi ya kuwa analytical au logical.
Mkuu kiranga kuna post ulipost why am I not a christian nahis ni comment kama sikosei siioni nisaidie mkuu nilitaka niisome
 
Ile thread ya kuhusu wasabato imefutwa na kupotea kabisa, kuna sehemu nilikuwa namjibu mtu nikakuta mods washafanya vitu vyao thread nzima haijibiki, sasa naitafuta siioni.

Kaka yangu Maxence Melo tmetoka bali. Najua tunaheshimiana sana.

It is so frustating writing so manyworrd, only tofind the thread is closed, unceremoniusly.

Why? that is like saying you don't give a hoot abot our inputs.

Ila ile essay ya Betrand Russell ipo hapa kwenye link chini.

Asante sa
Ile thread ya kuhusu wasabato imefutwa na kupotea kabisa, kuna sehemu nilikuwa namjibu mtu nikakuta mods washafanya vitu vyao thread nzima haijibiki, sasa naitafuta siioni.

Ila ile essay ya Betrand Russell ipo hapa kwenye link chini.

ASANTEE MKUU najifunza sana kutoka kwako🙏🙏🙏. Hata kama kama kuna vtabu mkuu unasoma KWA personal growth uwe unatupa madini. Wengi tunajifunza kutoka kwako ILA hatutaki tu kukupa maua YAKO 🙏
 
Nimefanya kautafiti kidogo nikagundua kila anaemchafua JPM ni fisadi ambae mambo yake hayakwenda vizuri enzi ya JPM. Ni ile jamii "unanijua mimi Ni nani?" Na Kama sio fisadi basi ni rafiki wa fisadi.
 
Asante sa

ASANTEE MKUU najifunza sana kutoka kwako🙏🙏🙏. Hata kama kama kuna vtabu mkuu unasoma KWA personal growth uwe unatupa madini. Wengi tunajifunza kutoka kwako ILA hatutaki tu kukupa maua YAKO 🙏
Asante sana,

Hayo maua - maua halisi, this is no mere figure of speech- mimi tayari nina pink rose bush hapa nyumbani ninapoishi, linachanua vizuri in the spring. Pia nina red rose bush kubwa sana in Bronx, New York. Nilipanda kwenye nyumba yangu ya Bronx miaka mingi sana iliyopita.

Mimi kila nikijenga au kununua nyumba kitu cha kwanza najipa ni maua au mti wa matunda, kwa hivyo, ukiniongezea nashukuru, lakini, usiponipa, nishapanda maua mwenyewe kwenye nyumba zangu.

Moja ya vitu nilivyojifunza katika maisha ni ku appreciate vitu kama flora and fauna, huu ni utajiri kuliko pesa.

Umenifanya kufikiria kuanzisha thread ya vitabu ninavyosoma, kuvifanyia review, na kusikiliza wengine walisoma wanavifikiriaje.

Nafikiri thread hiyo, tukiwa na inclusivity nzuri, na kuondoa obvious troll, tunaweza kuwa na mazungumzo mazuri.

Wiki hii nilikaa na wachumi fulani, wakanipa mrejesho wao kuhusu kitabu fulani nilichokuwa nakiona kizuri sana kuhusu uchumi, halafu, kutokana na mrejesho wao, nikakiona tofauti kabisa, nikajifunza mambo mengi kutoka kwao.

Kwa hivyo, kama utapenda tuwe na threads fulani za kujadili vitabu na articles fulani, ambazo naona ni muhimu, naweza kuanzisha series hiyo.
 
Back
Top Bottom