Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,320
- 23,023
Hujui kitu wewe umejawa na mihemko , kusifu na kuabudu. Usichokijua ni kuwa sijakuiliza kwa sababu sijui!Unanipa wasiwasi kwa maswali unayouliza.
Mtafute dogo pembeni yako akujibie hilo swali?
Kighoma Ally malima aliuwawa enzi za mwinyi na watu waliandika na kuandiK hakuna aliyekuja mbele na kudai apewe ushahidi juu ya tukio lile na uhusiK wa utwala wa mwinyi,
Sokoine, ulimboka nk.
Unataka tukupe ushahidi gani kama wazir wq serikali alishajibu kwamba wqhisika waliuwawa?