Wanaomkosoa Magufuli wako mtandaoni tu

Wanaomkosoa Magufuli wako mtandaoni tu

Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.

Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma cha pua) kwa mambo mengi mema aliyoyafanya.

Hawa vidampa na mafisadi sugu waliojibanza mitandaoni ndio wanaorusha vijembe dhidi ya Magufuli.

Unakuta fisadi moja linamiliki ID's saba zenye maudhui na malengo mfanano ya kumchafua jemedari. Kazi yake ni kubwata na kufoka.

Fisadi lenyewe limebebelea mavyeti feki. Eti na lenyewe linataka ajira!

Nitoe indhari kwa Rais Samia awe makini sana na hawa mafisadi sugu. Wengi wao ni wale oya oya wanaopenda kudoea doea, kupiga madili na kufanya ujanja ujanja.

Ahsante.
M

Magufuli anaungwa mkono na watu wafuatao.
Wajinga na wapuuzi wasioweza kupembua pumba na mchele
2. Wanufaika wa mfumo wake kama sabaya, makonda , musiba na hawa wengine wenye ID kumi kwa mamia wakiwemo watu wa kabila lake [sukuma gang]
3. Waliokuwa hawana access ya taarifa zinazomhusu yule bwana JPM
NJE YA HAPO HAUNGWI MKONO NA YYEYOTE KWAKUWA HANA CHA KUMFANYA MWENYE AKILI TIMAMU AMUUNGE MKONO
 
Huu ni utetezi wa fisadi sugu.
 
Dr ulimboka alipata ulemavu Kwa amri ya magufuli?
Wale waislam wa mwembe chai walipata ulemavu Kwa amri ya magufuli?
Babu seya alifungwa Maisha Kwa amri ya magufuli?

Others they are Rulers but Magufuli was a Real Leader.
 
Kwahiyo kwa sababu ulimboka alifanywa kilema ni haki wengine kuuwawa? Sawa tu?
Nchi hii ina wajinga wengi sana
 
Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.

Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma cha pua) kwa mambo mengi mema aliyoyafanya.

Hawa vidampa na mafisadi sugu waliojibanza mitandaoni ndio wanaorusha vijembe dhidi ya Magufuli.

Unakuta fisadi moja linamiliki ID's saba zenye maudhui na malengo mfanano ya kumchafua jemedari. Kazi yake ni kubwata na kufoka.

Fisadi lenyewe limebebelea mavyeti feki. Eti na lenyewe linataka ajira!

Nitoe indhari kwa Rais Samia awe makini sana na hawa mafisadi sugu. Wengi wao ni wale oya oya wanaopenda kudoea doea na kufanya janja janja.

Ahsante.
Usiwasahau vyeti feki waliotumbuliwa na familia zao pia wako huku jamii forum nao wanakomaa kumzodoa na kumkejeli Jpm
 
Huo usafi wa Magufuli ni UPI.by the way 80% ya watanzania ni wajinga-mtu mjinga hawezi ukimwambia 2 ni Z hawezi kukataa.Ukijumuisha na style ya Uongozi wa Magufuli wa kubinya uwazi wa Serikali lazima kila moja aseme Magufuli ni MTU poa.
Hicho kipimo cha ujinga uliwapimaje wa Tanzania
 
Hao waliouwawa weka ushahidi hapa kwamba aliyewauwa ni Magufuli?
Huyo ulimboka aliumizwa na jk? Hoja za kipuuzi na kishabiki zipite mbali
Leo tukijadili mauaji ya Anzory gwanda na Ben sanane unataka tuweke ushahidi gani wakati wazir wa JPM Alikir kwqmba wameuwawa.
 
Thibitisha kwamba aliyewauwa ni Magufuli? Unaleta tena story za vijiweni.
 
Unaposema magufuli amejenga barabara ni au reli au sijui ndege ni kwamba yye alitia pesa zake mfukoni kama mtu au taasisi ya uraiisi iliamua hivyo? Maswali haya ukiyaelewa yatakutoa kwenye huu ujinga wa kudai uthibitisho wa kitoto unaouomba hapa
 
Back
Top Bottom