Wanaomdharau Kingunge wamekosa adabu

Wanaomdharau Kingunge wamekosa adabu

Enyi vijana wa CCM MNAOTUMIWA NA WANASIASA wasiojua busara acheni kutukana wazee.

Hao ni waliofaidika na Mfumo ndani ya CCM hawapaswi kuisema CCM na hata ukiwaangalia usoni wanaona aibu.
 
Amejidharaurisha mwenyewe kwa kukubali kuuza utu

Tatizo ni kununulika. Mwalimu angefufuka akamkuta Kingunge anazunguka na mwanachama mmoja wa CCM anayetangaza nia ya kuomba ridhaa ya chama kumteua agombee urais nadhani angeomba kurudi alikotoka. Hili halikutarajiwa kwa Kingunge hivyo yeye mzee kungunge amejitukanisha mwenyewe.
 
hivi baba yako akiwa mzee na akilizake kupungua mtamtukana na kumfananisha na nyumbu? tafadhali nijibu kama ndio au hapana
 
Mwenye clipu ya dr mihogo akitupiwa vitu nje audio pse imejifuta
 
hivi baba yako akiwa mzee na akilizake kupungua mtamtukana na kumfananisha na nyumbu? tafadhali nijibu kama ndio au hapana

Baba yangu akifikia hapo nitajitahidi asizungumze sana akaaibika akakaribisha matusi. Basi Kingunge kama kachoka ashauriwe akae kimya. Akiongea upuuzi ulimwengu utamfunza kama mpuuzi mwingine yeyote
 
Baba yangu akifikia hapo nitajitahidi asizungumze sana akaaibika akakaribisha matusi. Basi Kingunge kama kachoka ashauriwe akae kimya. Akiongea upuuzi ulimwengu utamfunza kama mpuuzi mwingine yeyote

kwa hiyo baba yako akili yeke ikipungua itabaki ya kukusikiliza wewe tu,itapungua kwa wengine?
 
unajua wabingo tunajidaigi tuna heshima lakini ni unafki tu. Mataofa makubwa kama marekani wamekua na maraisi mbali mbali na watu waliopigania taifa(founding fathers) kuna wat wana maoni na itikadi tofauti nao lakini huwezi kisikia wanawatukana. Maana wenzetu hawana heshima za kinafki watapingana nao lakini si kwa matusi na dharau kama wanavyofanya akina nape.
 
Back
Top Bottom