Hivi Lowassa angekuwa Waziri wa Ujenzi kwa Miaka 15 angekuwa na Ukwasi kiasi gani? Kapewa Wizara ya Ardhi na Mzee Mwnyi, akakusanya viwanja kadhaa Masaki, kapewa Wizara ya Maji kakusanya Pambu za Maji za Nuwa enzi hizo kapeleka Mo duli na Longido, kapewa Uwaziri Mkuu kaleta Richmond na kama sio mapenzi ya Mungu alikuwa kishaenda Thailand kutuletea Mvua za Mabomu eti zijaze Mabwawa.Jakaya tunashukuru sana kwa ujasiri wa kuondoka na Wanamtandao wako, Lowassa Richmo d, Kingunge Ubungo Bus terminal, Membe pesa za gadafi, Masha Mradi wa Vitambulisho, Mama yetu na Wama yake, Ridh na Ugavi wa sembe, Rostam na Epa na Faza house na Escrow, Miaka kumi ya kukodishwa Ikulu wana Mtandao mme prove failure , kubadilisha ngazi ya kupandia juu hakuongezi nguvu wala stamina ya Mpandaji