Wanaomchukia Paul Makonda wanafuata mkumbo tu

Wanaomchukia Paul Makonda wanafuata mkumbo tu

Sababu za kumchuki Makonda,

#1. Dharau.

Huyu jamaa ana dharau sana, hana kauli ya kuzungumza na binadamu labda wanyama

Mfano. Ktk ziara zake amewatolea watu maneno ya ajabu ajabu.


#2. Ubabe wa Kijinga.

Kuna watu kadhaa wameshawekwa Lokapu kwa amri yake bila sababu ya msingi.

#3. Haamini ktk Kufanya kazi kwa pamoja.

Kila jambo anafikiri atalifanya yeye. Bila ya kufikiri kuwa kazi zinafanyika kwa pamoja.


#5. Sifa za kijinga.

Mfano Operesheni ya Madawa ilikuwa lengo ni kutafuta sifa za kijinga tu.


#6. Kuanzisha operesheni zisizoisha
 
Kumbe hakuvamia clouds? Alienda kufanyaje na wale polisi wake? Halafu mbona alipopewa nafasi ya kujieleza alikimbia na kukataa kujieleza?
 
Kumbe hakuvamia clouds? Alienda kufanyaje na wale polisi wake? Halafu mbona alipopewa nafasi ya kujieleza alikimbia na kukataa kujieleza?
Wale waliotaka kumhojo walikuwa na maafisa wa chini yake. Ulitaka ahojiwe na ma junior wake?
 
Wamefukuzwa kazi baada ya uthibitisho kuwa walifoji vyeti. Sasa Mh Makonda nani kathibitisha kuwa alifoji? Mnawasikiliza wapiga dili? Huo ni ubabaishaji!!!
Kwani amehakikiwa maan nafac aliyopo sifa KKK
 
Aaache show Off kuna haja gan ya kusema fulan anauza Cocaine public wakat huna uhakika? Awe Mwanaume sio Kivulana
 
Makonda tulimchukia tokea akiwa UVCCM. tena tulisema sana mapungufu yake na jinsi alivyofoji elimu yake. sema alikuwa hajafahamika sana watu walikuwa wanapotezea tu. Makonda tulimchukia zaidi alipompiga mzee wetu jaji Joseph Warioba
Kwani wewe huna mapungufu?
 
Gwajima ndio nani kwani? Si umeona. Kwenye uzi wangu nimeshasema....mnafuata mkumbo tu....
Mkolomije, mmisungwi msukuma mwenzie. Kijiji kimoja wamezaliwa. Uliyetoka naye kijiji kimoja anakujua into details kuliko wewe uliyekutana naye Kariakoo na kukuona Luningani. Mimi tangu nimehakikishiwa anatumia Cheti kisicho chake na kujipatia Fame nimeacha kumshabikia. Nikikumbuka mama yangu hana kazi tena kwa kutumikia Cheti kisicho chake kazini.
 
Hachukiwi na mtu tatizo kauli zake ,mi mwenyewe simpendi,na hujiulizi namchukia kwa lipi hasa,kwani hakuna anaemlisha mwenzake,tatizo kauli zake tu ,akijirekebisha hapo atakuwa kiongozi mzuri Kama wengine
 

Attachments

Wengi walikuwa wanamsifia sana Paul Makonda.Ila baada ya vita ya dawa za kulevya kutowaacha salama vipenzi vyao wengi walibadili upepo.Si unawajua watanzania lakini??
Hivi housegirl kwa vile umemzoesha kusafisha vyombo na kupanga kabatini siku akiweka vyombo jalalani atakuwa hajakosea kwa kuwa siku zote anafanya vizuri? kwani mshahara wa mkuu wa mkoa pamoja na marupurupu kibao ni kwa ajili ya kufanya makosa au kufanya yaliyo mema. Kwa mtazamo wangu jamii inategemea mema kutoka kwake akikosea atasemwa sana kwa kuwa hakutarajiwa kufanya hivyo, mbona trafik barabarani hawakamati kila mtu mpaka uwe na kosa huulizi kwamba siku zote umekuwa huna makosa?
 
Back
Top Bottom