Wanaojuwa ubora wa Zitto Kabwe wanaiona thamani yake

Wanaojuwa ubora wa Zitto Kabwe wanaiona thamani yake

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
340
Zitto Kabwe ni mwanasiasa mwenye thamani ya juu katika siasa zetu za Afrika,mwanasiasa huyu ameonesha ubora wake katika suala zima la kupiga vita ufisadi na kusimamia maslahi ya Taifa.Zitto Kabwe huyu kaweka rekodi kubwa ambayo haijawahi fikia na mwanasiasa yeyote hapa nchini katika kuzisimamia ajenda nyingi na kufika nazo mwisho kwa maslahi ya taifa na amekuwa ametulia na asiyependa kukurupuka.
Thamani ya Zitto Kabwe nayoisema na wenye kuijua wanaanza kuithamini na kuitumia ni uamuzi wa Profesa mchumi wa hali ya juu Ibrahim Lipumba kuamua kuitumia thamani ya mwanasiasa huyu kwa kumpa mwaliko wa nguvu katika ziara zake za mtwara chini ya chama cha Cuf.Cuf itumieni thamani hii kwa kumtumia mwanasiasa huyu kwa mabadiliko ya kweli kwa wanamtwara.Wanamtwara jiandaeni kwa kupata somo la nguvu na mabadiliko ya kweli kutoka kwa mwanasiasa wa mabadiliko Zitto Kabwe.
Mabadiliko ya kweli yanaletwa na watu wenye dhamira ya kweli na sikuzote Mungu hawatupi.
Hansen Nasli
 
Yaa ZZK yuko vizuri busara zake ndio maamuzi yake kuwe ka uzalendo mbele na kutoa masilahi binafsi na huu ndio msimamo wa mh. ZZK ktk maisha yake.
 
Unajua akikua ataacha si unajua binadamu hatujakamilika 100% ndio ilivyo kwa ZZK kuna sehemu hajakamilika
 
Mwabie zito atupe majina ya watanzania walooficha pesa Uswiss kwanza kabla ya kuendelea na sifa zako kwa huyo kipenzi cha CCM
 
Zitto Kabwe ni mwanasiasa mwenye thamani ya juu katika siasa zetu za Afrika,mwanasiasa huyu ameonesha ubora wake katika suala zima la kupiga vita ufisadi na kusimamia maslahi ya Taifa.Zitto Kabwe huyu kaweka rekodi kubwa ambayo haijawahi fikia na mwanasiasa yeyote hapa nchini katika kuzisimamia ajenda nyingi na kufika nazo mwisho kwa maslahi ya taifa na amekuwa ametulia na asiyependa kukurupuka.
Thamani ya Zitto Kabwe nayoisema na wenye kuijua wanaanza kuithamini na kuitumia ni uamuzi wa Profesa mchumi wa hali ya juu Ibrahim Lipumba kuamua kuitumia thamani ya mwanasiasa huyu kwa kumpa mwaliko wa nguvu katika ziara zake za mtwara chini ya chama cha Cuf.Cuf itumieni thamani hii kwa kumtumia mwanasiasa huyu kwa mabadiliko ya kweli kwa wanamtwara.Wanamtwara jiandaeni kwa kupata somo la nguvu na mabadiliko ya kweli kutoka kwa mwanasiasa wa mabadiliko Zitto Kabwe.
Mabadiliko ya kweli yanaletwa na watu wenye dhamira ya kweli na sikuzote Mungu hawatupi.
Hansen Nasli

Majina ya Akaunti za Uswis.?

Saini Za kutokua na iman na PM..?

Hizo hoja zilifika mwisho.?
 
Ameweka hadharani majina ya walioiba pesa za Escrow Umechukua uamuzi gani dhidi yao?
Mwabie zito atupe majina ya watanzania walooficha pesa Uswiss kwanza kabla ya kuendelea na sifa zako kwa huyo kipenzi cha CCM
 
Hansenl Nasil wewe huwa huna lingine kichwani zaidi ya Zitto? Ukilala ukiamka ni yeye tuu mpaka inafika wakati najiuliza au wewe ni Zitto? Nimefuatilia maandiko yako mengi ni kuhusu huyo bwana tuu huna jingine.
 
Last edited by a moderator:
Hansenl Nasil wewe huwa huna lingine kichwani zaidi ya Zitto? Ukilala ukiamka ni yeye tuu mpaka inafika wakati najiuliza au wewe ni Zitto? Nimefuatilia maandiko yako mengi ni kuhusu huyo bwana tuu huna jingine.
Hata mimi nadhani hiyo ni ID ya Zitto mwenyewe,au meneja wake wa kampeini
link:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/780319-zitto-kabwe-adui-rafiki-kipenzi.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-hotuba-ya-rais-escrow-ngoma-nzito-bado.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/778541-majibu-ya-zitto-kwa-jk-yaleta-utata-mwingine.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...baye-hatagombea-mhanga-wa-mafanikio-yake.html
 
Ameweka hadharani majina ya walioiba pesa za Escrow Umechukua uamuzi gani dhidi yao?

Hajaweka yeye hayo yamewekwa na CAG kwa hoja iliyoibuliwa na Kafilia. Zito amesoma tu riport ambayo imetaysrishwa na kamati ya PAC ambayo wajumbe wake 19 wa CCM 5 ni waupinzani
Pia itakumbuka siku ile mjadala alitoa mchango wa hovyo bahati nzuri kulikuwa na watu weledi na kuzima hoja yake iliyokuwa malengo kuwaokoa watuhumiwa.
 
Zitto ana uwezo mkubwa kisiasa, suluhu inahitajika mapema.
Hana uwezo wowote labda kuwapa bahasha wandishi wa habari wamwandike kweye magazeti. Siku zote nasema CDM wananabahati kukig'hamua mapema hiki kirusi vinginevyo ule usemi wa Wasira wa CDM kufutika ungetimia.
 
Majina ya akaunti za uswiss aliitaji sheria ya kuwajibisha kaililia serikali hadi leo tunapiga danadana sio mtu wa sifa ataje majina halafu hakuna hatua iliyochukuliwa ipo wapi list of the shame ya mwembeyanga ilileta matunda gani?
Suala la sign la Pm nadhani mwenyewe uliona wakina Mkulo waliondoka lipi halijaisha tunasubiri tu hicho kipolo cha uswiss akimalizie kama sheria italetwa
 
VIPI YALE MAJINA YA MABILIONI YA USWIZI ALIYOSEMA ATAYATAJA KESHAYATAJA!? Mabilioni ya uswizi, mabilioni ya uswizi! Taja majina basi kimyaaaa ndo siasa za huyu mtu!
Baadae akatangaza kuacha siasa ili arudi chuoni kufanya kazi za kitaaluma(kufundisha), VIPI MPANGO HUO BADO UPO? AU ALIDHANI CHADEMA ITAKUFA KAMA ALIVYOTUMWA? FAILURE, CHADEMA HAIFI NA ANATAMANI KURUDI!
CHEAP POLITICIAN MZITO..
 
Hakika zitto ni mwanasiasa bora zaidi hapa nchini ila wafuasi wa mbowe hawataki kwa ukweli huu udhihiri kwa sababu za fitna zao za kikanda ila wengi tunaufahamu vyema mgogoro wa cdm na zitto ulilenga kummaliza zitto kisiasa kwa kumhusisha na mkakati ambao waliouandaa wenyewe walikana kutomhusisha zitto mwenyewe.
 
Mwabie zito atupe majina ya watanzania walooficha pesa Uswiss kwanza kabla ya kuendelea na sifa zako kwa huyo kipenzi cha CCM

mbona majina ya wahusika wa tegeta escrow yamewekwa wazi na wengine wamekiri,umechukua hatua gani?
 
VIPI YALE MAJINA YA MABILIONI YA USWIZI ALIYOSEMA ATAYATAJA KESHAYATAJA!? Mabilioni ya uswizi, mabilioni ya uswizi! Taja majina basi kimyaaaa ndo siasa za huyu mtu!
Baadae akatangaza kuacha siasa ili arudi chuoni kufanya kazi za kitaaluma(kufundisha), VIPI MPANGO HUO BADO UPO? AU ALIDHANI CHADEMA ITAKUFA KAMA ALIVYOTUMWA? FAILURE, CHADEMA HAIFI NA ANATAMANI KURUDI!
CHEAP POLITICIAN MZITO..

akisha taja hayo majina utachukua hatua gani mkuu? majina ya wanufaika na escrow yapo hadharani na wengine wamekiri kupata mgao,umechukua hatua gani mkuu?
 
Tatizo la bavicha mnatumiwa na mbowe kutengeneza fitna ili utawala wake udumu lkn hamfiki mbali.
 
Back
Top Bottom