Wanaojuwa ubora wa Zitto Kabwe wanaiona thamani yake

Wanaojuwa ubora wa Zitto Kabwe wanaiona thamani yake

akisha taja hayo majina utachukua hatua gani mkuu? majina ya wanufaika na escrow yapo hadharani na wengine wamekiri kupata mgao,umechukua hatua gani mkuu?

Mimi siyo mamlaka inayochukulia hatua mafisadi kama unavyojaribu kuhoji!
Zito ataje majina kama ushahidi anao, bunge lipo linaweza kuunda kamati ya kuchunguza na kuja na maazimio kama uliyoyaona kwa watu wa Escrow.. Kwenye richmond kamati iliundwa mawaziri wakang'oka..
Huyu ana kipaji cha kupayuka, huyu alitoa tuhuma nzito zz uongo bila uthibitisho kuwa viongozi wa CHADEMA wanataka kumuua! Akaishia njiani! Nani amfuatilie kumuua mtu mnafiki kama huyu? Ana nini muhimu zaidi ya kujiogopa mwenyewe kwasababu ni kibaraka wa ccm!?
Huyu aliandaliwa kuiua CDM, ndo sababu viongozi wengi wa ccm walitoa kauli mbalimbali kuwa CDM itakufa kabla ya 2014!
Escrow ni HOJA YA KAFULILA siyo ya mzito!
 
Ana uwezo mkubwa sana, ila tatizo alifanya kazi kubwa na akapata sifa kubwa zilizozidi umri wake, akasahau wtu ndio wamemfanya kuwa hivyo kwa kumkubali, akadhani yuko hivyo kwa kuwa yeye ni ZITTO hata kama hakuna mtu wa kumkubali atabaki kuwa smart, lakini hajachelewa kukubali kubadilika sio ujinga, Mwigulu kaanza kutambua lazima awe mtu wa watu kaanza ku change ujinga kamuachia lusinde.
 
Zitto ni mwanasiasa na kiongozi bora kabisa kuwahi kuzaliwa Tanzania pengine baada ya Nyerere,kila nikitafuta sioni wa kulingana naye,ni mwanasiasa mwenye fikra zake binafsi kuhusu kisiasa na uongozi na hiyo ni sifa kubwa sana
 
Asante Pasco kwa kuchimba zaidi. Unajua member mwenzetu anapojikita kuanzisha mada zinazomsifia mtu mmoja kila siku anawatia mashaka great thinker kujiuliza kunani? Mbona yapo mengi sana ya kujadili hapa JF kuliko sifa za mtu mmoja?
Hata hivyo ni ujinga kukazania kumsifia mtu katika jambo fulani kwa vile alikuwa mwenyekiti wa kamati iliyo shughulikia swala fulani. Kikanuni hata kama Zitto kwenye PAC angekuwa ametofautiana na wenzake 23 bado alipaswa kusoma maazimio yale ya kamati kama wengi walivyo azimia.
Huyu ni tofauti na uenyekiti wa Warioba kule kwenye Tume, yeye ameendelea kutoa darasa la kwa nini waliadhimia na kutoa mapendekezo yale bila kuogopa vitisho,matusi na fujo planned ili kumziba mdomo. Hiyo ndio juhudi binafsi ya mwenyekiti na ndio maana anapewa sifa kama Warioba binafsi kwa vile "hakuufyata"
 
Last edited by a moderator:
Majina ya Akaunti za Uswis.?

Saini Za kutokua na iman na PM..?

Hizo hoja zilifika mwisho.?
\

yaani wehu kama wewe ndio MAJEMBE YA CHADEMA.
hahahahahaaaaaaaaaaa ndio maana nawadharaaaaaauuuuuuu
 
Mchunguze kila asimtaka utakuta ni shabiki wa mbowe na slaa chama gani? Cha viongingozi wa kifalme! Usiokoma.
 
Zitto Kabwe ni mwanasiasa mwenye thamani ya juu katika siasa zetu za Afrika,mwanasiasa huyu ameonesha ubora wake katika suala zima la kupiga vita ufisadi na kusimamia maslahi ya Taifa.Zitto Kabwe huyu kaweka rekodi kubwa ambayo haijawahi fikia na mwanasiasa yeyote hapa nchini katika kuzisimamia ajenda nyingi na kufika nazo mwisho kwa maslahi ya taifa na amekuwa ametulia na asiyependa kukurupuka.
Thamani ya Zitto Kabwe nayoisema na wenye kuijua wanaanza kuithamini na kuitumia ni uamuzi wa Profesa mchumi wa hali ya juu Ibrahim Lipumba kuamua kuitumia thamani ya mwanasiasa huyu kwa kumpa mwaliko wa nguvu katika ziara zake za mtwara chini ya chama cha Cuf.Cuf itumieni thamani hii kwa kumtumia mwanasiasa huyu kwa mabadiliko ya kweli kwa wanamtwara.Wanamtwara jiandaeni kwa kupata somo la nguvu na mabadiliko ya kweli kutoka kwa mwanasiasa wa mabadiliko Zitto Kabwe.
Mabadiliko ya kweli yanaletwa na watu wenye dhamira ya kweli na sikuzote Mungu hawatupi.
Hansen Nasli

Ushaingiza siku
 
Zitto anaweza kuwa ana uwezo mzuri tu wa kisiasa...tatizo uchu wake kwenye pesa za madafu umemaliza kabisa mustakhabari wake kwenye siasa,in fact Zitto haaminiki....anaweza kuanzisha ajenda flani na ikaungwa mkono na Watanzania wengi lakini karibu na mwishoni akawapiga chenga ya mwili na kuwaacha kwenye mataa.Sijamsahau kwenye issue ya mabilioni ya Uswisi
 
Zzk anajua nn anafanya hivyo basi kama kijana unatakiwa kufunguka na kujua umuhimu wa wanasiasa vijana nasiyo kujana mawanasia bali anafanya ninii
 
Majina ya akaunti za uswiss aliitaji sheria ya kuwajibisha kaililia serikali hadi leo tunapiga danadana sio mtu wa sifa ataje majina halafu hakuna hatua iliyochukuliwa ipo wapi list of the shame ya mwembeyanga ilileta matunda gani?
Suala la sign la Pm nadhani mwenyewe uliona wakina Mkulo waliondoka lipi halijaisha tunasubiri tu hicho kipolo cha uswiss akimalizie kama sheria italetwa

Kutaja ingetosha kabisa hata kama serikali haitahukua hatua yyote. Tunaju atazisigukuliwa hata kama kuna sharia. Ziito ni mnafiki tu mwigine na msaliti, sijui ni kwa vipi utamsafisha
 
Ni kweli, nimefuatilia baadhi.

  • This is more than just like and appreciation, it's either love, obsession or egotism at its best, (if he is!).
Pasco.

Or arrogance of the highest order...
 
Mimi siyo mamlaka inayochukulia hatua mafisadi kama unavyojaribu kuhoji!
Zito ataje majina kama ushahidi anao, bunge lipo linaweza kuunda kamati ya kuchunguza na kuja na maazimio kama uliyoyaona kwa watu wa Escrow.. Kwenye richmond kamati iliundwa mawaziri wakang'oka..
Huyu ana kipaji cha kupayuka, huyu alitoa tuhuma nzito zz uongo bila uthibitisho kuwa viongozi wa CHADEMA wanataka kumuua! Akaishia njiani! Nani amfuatilie kumuua mtu mnafiki kama huyu? Ana nini muhimu zaidi ya kujiogopa mwenyewe kwasababu ni kibaraka wa ccm!?
Huyu aliandaliwa kuiua CDM, ndo sababu viongozi wengi wa ccm walitoa kauli mbalimbali kuwa CDM itakufa kabla ya 2014!
Escrow ni HOJA YA KAFULILA siyo ya mzito!

Relax mkuu mbona unashupalia hilo swala hivo amna jingine

Nikuulize mbona mbowe hajaleta ile video Ya Arusha au kwa vile unatumwa na hayo mijamaa
 
Relax mkuu mbona unashupalia hilo swala hivo amna jingine

Nikuulize mbona mbowe hajaleta ile video Ya Arusha au kwa vile unatumwa na hayo mijamaa

Issue siyo kukomaa na hiyo issue moja! Huo ni mfano tu mmoja katika mingi ya uzushi wa zito.. kama mtu anakuelimisha uujue uozo wa mzito unasema katumwa na Mbowe, basi ni wazi kuwa wewe ndo unatumwa na mzito..
Subiri uone nani atafulia kati ya CDM na huyo kibaraka anayelipwa na ccm.. Kaanzisha Act a.k.a ccm B ili kupora wafuasi wa CDM lakini mwenye akili ameona mzito anavyoitamani UKAWA hata kufikia kusema alimiss kufanya nao kazi! Hata kufikia kusema anatamani kujiunga na UKAWA kupitia act!
Waliosema CDM itakufa kabla ya 2014 sasa wanakufa wao.
 
Povu.., limekutoka nataman nikuone ulivolowa Kwa hiyo mbona umejibu hichokipengele tu ama ndo unakiweza . .. acha uvifu dogo...
 
Zitto Kabwe ni mwanasiasa mwenye thamani ya juu katika siasa zetu za Afrika,mwanasiasa huyu ameonesha ubora wake katika suala zima la kupiga vita ufisadi na kusimamia maslahi ya Taifa.Zitto Kabwe huyu kaweka rekodi kubwa ambayo haijawahi fikia na mwanasiasa yeyote hapa nchini katika kuzisimamia ajenda nyingi na kufika nazo mwisho kwa maslahi ya taifa na amekuwa ametulia na asiyependa kukurupuka.
Thamani ya Zitto Kabwe nayoisema na wenye kuijua wanaanza kuithamini na kuitumia ni uamuzi wa Profesa mchumi wa hali ya juu Ibrahim Lipumba kuamua kuitumia thamani ya mwanasiasa huyu kwa kumpa mwaliko wa nguvu katika ziara zake za mtwara chini ya chama cha Cuf.Cuf itumieni thamani hii kwa kumtumia mwanasiasa huyu kwa mabadiliko ya kweli kwa wanamtwara.Wanamtwara jiandaeni kwa kupata somo la nguvu na mabadiliko ya kweli kutoka kwa mwanasiasa wa mabadiliko Zitto Kabwe.
Mabadiliko ya kweli yanaletwa na watu wenye dhamira ya kweli na sikuzote Mungu hawatupi.
Hansen Nasli

Zitto always is stable man.
 
Back
Top Bottom