Wanaojua kuhusu utumishi

Wanaojua kuhusu utumishi

GAMBAYI

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
39
Reaction score
4
Habari zenu leo tumefanya written kwa post za AFISA USTAWI na watu tulikuwa si chini ya 900 wakasema majibu ya written yatatoka kesho jioni au j3 asubuhi, je hawa jamaa wanaangalia vigezo gani kwenye usahihishaji? maana pepa ni nyingi kutokana na idadi ya watu bt wanasema majibu kesho au kesho kutwa.

==============
Ndugu wana jamvi Utumishi wametoa majina kwa kada mbali mbali katika usaili kama ifuatavyo kwenye tangazo hapa chini:
 
Attachments

ninavyojua mm hyo ngoma hapo ni jm 3 jion au jm 4 ndo watatoa kivigezo ndo hvo watayapitia na kutoa marks zao wanaweza amua wakachukua labda kuanz.70 kwa oral.
 
Wako fasta sana na hamna kuchakachua hapo...!! Kama umefanya vizuri utapasi tu, ondoa shaka!! Sema yakubidi ukaze sana kwenye ORAL
 
Wadau changamkieni kuangalia majina yenu tovuti ya utumishi. All the best.
 
kifupi wametoa watu wanaohusika na mambo ya kilimo na mifugo nadhani kwa wale wadau linawahusu,ila wale tulokimbia kilimo halituhusu
 
wameita kada mbalimbali ikiwemo wizara ya fedha,afisa tarafa,wahasibu wasaidizi,wakaguzi wa ndani..................... ziko nyingi

Kama kuna mtu anaweza kutuwekea asaidie
 
Wanaweka ratiba mtu mmoja intaview 2 afu sa moja na sa tatu wakati hyo ya sa moja unakuta wanachelewa kuanza.msaada jamani.
 
kifupi wametoa watu wanaohusika na mambo ya kilimo na mifugo nadhani kwa wale wadau linawahusu,ila wale tulokimbia kilimo halituhusu

Mkuu ni various position,administrative officers,accountants,etc,pitieni muone!
 
Msaada. Mwenye uzoefu na interview za afisa tarafa tunaomba kushare jamani.
 
wale wa uhasibu nawaomba wasome kabisa maana nilifanya pepa moja tukapewa swali la ration iliyokamilika.,Aliyewahi kufanya ya auditing atujuze kama yupo
 
1. Unaelewaje usemi huu "Chama kushika hatamu"? eleza kinagaubaga ukitolea mifano halisi, si chini ya kurasa tatu.
2. Eleza maudhui ya mkakati wa "Siasa ni kilimo" kurasa 5 au zaidi
3. Bila CCM nchi itayumba, Je unakubaliana na usemi huu? eleza kwa kirefu

Hayo ndo baadhi ya maswali niliyokutana nayo siku nilipotaka kuhamia mjini kwa kutafuta kazi tajwa hapo juu. Kilichofuata Nyati mimi nikaamua kurudi zangu porini hadi leo
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli mkuu,katibu tarafa wanatumiwa kisiasa. Mwaka juzi uhuni huu ulifanyika pale utumishi. Acha kabisa hii nchi.
 
Last edited by a moderator:
ee mungu ibarik kaz ya kichwa changu uliyoniwezesha niitende pale lecture theater ya the mwalimu nyerere memorial academy mnamo jana
 
Watatoa lini majina ya nafasi za kazi walizotangaza za Chuo cha Maji?
 
Back
Top Bottom