Nkemia
Senior Member
- Jul 1, 2016
- 153
- 148
Mda mwingne gharama za ujenz huwa sio kubwa kama inavyodhaniwa mara nyingi watu wengi wamekuwa wanauziwa vitu kwa gharama zisizo sahihi hii ni pamoja na kuwaamini mafundi ambao wamekuwa wakipandsha bei ya bidhaa kwa kucheza mchezo mchafu na wauzaji hali ambayo imepelekea bidhaa hasa za ujenzi kuonekana kuwa za juu sana,Hili nimeliona na limekuwa linaniumiza sana kwani mafund hawa bila huruma hula pesa ambayo sio halali na bdo unawalipa hela ya ufundi
Kwa kuliona hlo nimeona niwe nawauzia wateja direct kwa kutafutana moja kwa moja pasipo mpitio wa madalali wasiyojua uchungu wa upatikanaji wa mali hzo
Nimeanza na Mbao sasa kwa wazazi wa kanda ya ziwa hasa Mwanza na shinyanga ila pia kwa watakao kuwa wanapatikana njiani pindi mzigo ukiwa unatoka mafinga ntawauzia endapo wataweza kwenda na mda ili kutusaidia kutokutumia mda mwingi njiani hapa naongelea watu wote waliopo njiani kati ka iringa hadi Mwanza kwa bei nafuu kabsa (isiyo ya kidalali)
Tutafutane inbox na soon naanza na hardware pia,kama hautakuwa serious tusisumbuane inbox
Nawakilisha wakuu