Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,754
Hahahahah unaweza hata kusokomezewa bange na wakina Muraa wakakusweka ndani bila dhamanana hatari zaidi ukisema kuna mabasi 60 ya Esther yanakuja !

ok, Huyu Masauni anafahamu katiba ya Jamhuri ya muungano au anatumia katiba ya Zanzibar?
Mwambieni Masauni alikuwepo Ole Sabaya na Ally Happy wao waliapa kiwashughulia viongozi na Raia yeyote anayemsema Rais wa wakati huo vibaya, Ally Happy alienda mbali na kusema Yeye ni mtu hatari, Sasa Leo uhatari wake akafanyie huko Ukraine au Afaghanstan
Mwambieni Masauni watu hatari na wenye vitisho wanahitajika huko na Putin wakapigane mstari wa mbele dollar 7000 na mstari wa nyuma dollar 3500, Kama hana jipya kwenye uongozi apishe watu Wengine asitake kufunga watu midomo ya kuongea na Kutengeneza Taifa linalogawanyika
Mwambieni huku bara katiba inaruhusu watu kuongea wanachotaka bali wasivunje sheria, Mwambieni Zanzibar watu wa huku bara wanatubania ardhi ya kujenga
Mwambie Masauni kuna mambo ya msingi ya kuelimisha watu wake kama PGO, Atumie muda kuwaelekeza watu wake mambo ya PGO na kutenda haki
Mwambieni Masauni awe anasikiliza kauli za Rais kuwa Jeshi la polisi lishughulike na mambo yake ya msingi wasitoke kwenye lengo la kuanzisha Jeshi la polisi
Hivi watu bado hawakujifunza awamu ya tano ya JPM kuwa haya mambo yalitengeneza chuki mpaka kwa mara ya kwanza watanzania wakaanza kufurahia vifo vya viongozi wa kisiasa
Hapa JF tu watu walitoa kauli za kuombea Viongozi wafe kwa korona. Na viongozi waliokufa watu walishangilia
Angekuwa mkristu masauni ningesema kwanini Wagalatia mna roho ngumu na mmeweka pamba masikioni
Sasa huyu ustadh Masauni ameshaanza kupandisha mabega tena, Naona Masauni Mabega yameanza kupanda sasa
Tumkumbushe masauni alikuwepo Kangi Lugola yeye alivaa mpaka bendera ya Taifa na alitembea na ilani mitaani kama anaeneza injili
Hiyo wizara Kangi Lugola alishona suti zenye Rangi ya bendera ya Taifa
Ni muhimu viongozi wakakumbuka nchi imepita wakati gani
Hawa watu mambo yakiwa magumu wanaanza kuwalilia viongozi wa dini wawashauri wananchi
Masauni aache viongozi wa dini wapumzike, Tumechoka na makongamano ya Amani kila wakati na upatanisho wa kisiasa
Rais alishasema watu waongee, Yeye ameshajisahau anaingilia mamlaka ya Rais
Mwambieni Masauni mabega hayakuzidi kichwa
Mwambieni Masauni Ally Happy aliapa atawafundisha adabu akina Jakaya Kikwete na wastaafu kisa walitoa maoni yao kuhusu maoni hayapigwi Lungu
Mawaziri mjikite kwenye mambo ya msingi yenye kuleta mabadiliko, Mambo ya kufukuzana na watu wanaotoa maoni hasi kama Panya Buku huko Twitter, Clubhouse, Facebook sio lengo la Rais Samia
Kangi Lugola alitumia miaka yote kumfukuzia Kigogo wa Twitter haya sasa kigogo huyo huyo Leo ni mwana ccm kuliko Kangi Lugola, Maoni hayapigwi Lungu( By Jakaya Kikwete)
Mwambieni Masauni tunahitaji gharama alizotumia Kangi Lugola kumtafuta Kigogo wa Twitter,
Watu Wanalalamika tozo, Masauni anaongelea kuingia gharama za kuweka mifumo ya watu wanaomtania na kumsema Rais Samia
Mwambieni Masauni asitumie tozo za wananchi kwa mambo ya utani, kejeli na masihara mtandaoni ya wananchi kwa Rais wao
ni akina nani walioitukana serikali ?Hajasema kuikosoa serikali bali kutukana serikali
Serikali mkono mrefu usishindane nayo , unaweza kufa kibuduHahahah wale jamaa sikuile walitaka wakubinye kende naona unakumbuka balaa lake 😂😂😂
Chawa sugu wa mwendazake ndiyo wanao mzingua mama ,.Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
Mkuu hii ni serikali ya awamu ya 5Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
Kuisema Wacha waiseme.ila wazushi na wapotoshaji washikwishe adabu Ili kukopesha huu upuuzi..Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Masauni amesema wanazo Taarifa kwamba kuna watu wameandaana makundi ya vijana waliopewa kazi ya kutukana serikali mitandaoni .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
ok, Huyu Masauni anafahamu katiba ya Jamhuri ya muungano au anatumia katiba ya Zanzibar?
Mwambieni Masauni alikuwepo Ole Sabaya na Ally Happy wao waliapa kiwashughulia viongozi na Raia yeyote anayemsema Rais wa wakati huo vibaya, Ally Happy alienda mbali na kusema Yeye ni mtu hatari, Sasa Leo uhatari wake akafanyie huko Ukraine au Afaghanstan
Mwambieni Masauni watu hatari na wenye vitisho wanahitajika huko na Putin wakapigane mstari wa mbele dollar 7000 na mstari wa nyuma dollar 3500, Kama hana jipya kwenye uongozi apishe watu Wengine asitake kufunga watu midomo ya kuongea na Kutengeneza Taifa linalogawanyika
Mwambieni huku bara katiba inaruhusu watu kuongea wanachotaka bali wasivunje sheria, Mwambieni Zanzibar watu wa huku bara wanatubania ardhi ya kujenga
Mwambie Masauni kuna mambo ya msingi ya kuelimisha watu wake kama PGO, Atumie muda kuwaelekeza watu wake mambo ya PGO na kutenda haki
Mwambieni Masauni awe anasikiliza kauli za Rais kuwa Jeshi la polisi lishughulike na mambo yake ya msingi wasitoke kwenye lengo la kuanzisha Jeshi la polisi
Hivi watu bado hawakujifunza awamu ya tano ya JPM kuwa haya mambo yalitengeneza chuki mpaka kwa mara ya kwanza watanzania wakaanza kufurahia vifo vya viongozi wa kisiasa
Hapa JF tu watu walitoa kauli za kuombea Viongozi wafe kwa korona. Na viongozi waliokufa watu walishangilia
Angekuwa mkristu masauni ningesema kwanini Wagalatia mna roho ngumu na mmeweka pamba masikioni
Sasa huyu ustadh Masauni ameshaanza kupandisha mabega tena, Naona Masauni Mabega yameanza kupanda sasa
Tumkumbushe masauni alikuwepo Kangi Lugola yeye alivaa mpaka bendera ya Taifa na alitembea na ilani mitaani kama anaeneza injili
Hiyo wizara Kangi Lugola alishona suti zenye Rangi ya bendera ya Taifa
Ni muhimu viongozi wakakumbuka nchi imepita wakati gani
Hawa watu mambo yakiwa magumu wanaanza kuwalilia viongozi wa dini wawashauri wananchi
Masauni aache viongozi wa dini wapumzike, Tumechoka na makongamano ya Amani kila wakati na upatanisho wa kisiasa
Rais alishasema watu waongee, Yeye ameshajisahau anaingilia mamlaka ya Rais
Mwambieni Masauni mabega hayakuzidi kichwa
Mwambieni Masauni Ally Happy aliapa atawafundisha adabu akina Jakaya Kikwete na wastaafu kisa walitoa maoni yao kuhusu maoni hayapigwi Lungu
Mawaziri mjikite kwenye mambo ya msingi yenye kuleta mabadiliko, Mambo ya kufukuzana na watu wanaotoa maoni hasi kama Panya Buku huko Twitter, Clubhouse, Facebook sio lengo la Rais Samia
Kangi Lugola alitumia miaka yote kumfukuzia Kigogo wa Twitter haya sasa kigogo huyo huyo Leo ni mwana ccm kuliko Kangi Lugola, Maoni hayapigwi Lungu( By Jakaya Kikwete)
Mwambieni Masauni tunahitaji gharama alizotumia Kangi Lugola kumtafuta Kigogo wa Twitter,
Watu Wanalalamika tozo, Masauni anaongelea kuingia gharama za kuweka mifumo ya watu wanaomtania na kumsema Rais Samia
Mwambieni Masauni asitumie tozo za wananchi kwa mambo ya utani, kejeli na masihara mtandaoni ya wananchi kwa Rais wao
ok, Huyu Masauni anafahamu katiba ya Jamhuri ya muungano au anatumia katiba ya Zanzibar?
Mwambieni Masauni alikuwepo Ole Sabaya na Ally Happy wao waliapa kiwashughulia viongozi na Raia yeyote anayemsema Rais wa wakati huo vibaya, Ally Happy alienda mbali na kusema Yeye ni mtu hatari, Sasa Leo uhatari wake akafanyie huko Ukraine au Afaghanstan
Mwambieni Masauni watu hatari na wenye vitisho wanahitajika huko na Putin wakapigane mstari wa mbele dollar 7000 na mstari wa nyuma dollar 3500, Kama hana jipya kwenye uongozi apishe watu Wengine asitake kufunga watu midomo ya kuongea na Kutengeneza Taifa linalogawanyika
Mwambieni huku bara katiba inaruhusu watu kuongea wanachotaka bali wasivunje sheria, Mwambieni Zanzibar watu wa huku bara wanatubania ardhi ya kujenga
Mwambie Masauni kuna mambo ya msingi ya kuelimisha watu wake kama PGO, Atumie muda kuwaelekeza watu wake mambo ya PGO na kutenda haki
Mwambieni Masauni awe anasikiliza kauli za Rais kuwa Jeshi la polisi lishughulike na mambo yake ya msingi wasitoke kwenye lengo la kuanzisha Jeshi la polisi
Hivi watu bado hawakujifunza awamu ya tano ya JPM kuwa haya mambo yalitengeneza chuki mpaka kwa mara ya kwanza watanzania wakaanza kufurahia vifo vya viongozi wa kisiasa
Hapa JF tu watu walitoa kauli za kuombea Viongozi wafe kwa korona. Na viongozi waliokufa watu walishangilia
Angekuwa mkristu masauni ningesema kwanini Wagalatia mna roho ngumu na mmeweka pamba masikioni
Sasa huyu ustadh Masauni ameshaanza kupandisha mabega tena, Naona Masauni Mabega yameanza kupanda sasa
Tumkumbushe masauni alikuwepo Kangi Lugola yeye alivaa mpaka bendera ya Taifa na alitembea na ilani mitaani kama anaeneza injili
Hiyo wizara Kangi Lugola alishona suti zenye Rangi ya bendera ya Taifa
Ni muhimu viongozi wakakumbuka nchi imepita wakati gani
Hawa watu mambo yakiwa magumu wanaanza kuwalilia viongozi wa dini wawashauri wananchi
Masauni aache viongozi wa dini wapumzike, Tumechoka na makongamano ya Amani kila wakati na upatanisho wa kisiasa
Rais alishasema watu waongee, Yeye ameshajisahau anaingilia mamlaka ya Rais
Mwambieni Masauni mabega hayakuzidi kichwa
Mwambieni Masauni Ally Happy aliapa atawafundisha adabu akina Jakaya Kikwete na wastaafu kisa walitoa maoni yao kuhusu maoni hayapigwi Lungu
Mawaziri mjikite kwenye mambo ya msingi yenye kuleta mabadiliko, Mambo ya kufukuzana na watu wanaotoa maoni hasi kama Panya Buku huko Twitter, Clubhouse, Facebook sio lengo la Rais Samia
Kangi Lugola alitumia miaka yote kumfukuzia Kigogo wa Twitter haya sasa kigogo huyo huyo Leo ni mwana ccm kuliko Kangi Lugola, Maoni hayapigwi Lungu( By Jakaya Kikwete)
Mwambieni Masauni tunahitaji gharama alizotumia Kangi Lugola kumtafuta Kigogo wa Twitter,
Watu Wanalalamika tozo, Masauni anaongelea kuingia gharama za kuweka mifumo ya watu wanaomtania na kumsema Rais Samia
Mwambieni Masauni asitumie tozo za wananchi kwa mambo ya utani, kejeli na masihara mtandaoni ya wananchi kwa Rais wao
Kwa hiyo masauni anataka kumfurahisha Mama au katumwa na Mama aseme hayo?Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .