kichoroba89
Senior Member
- Oct 3, 2019
- 197
- 57
Kwanini wanaposifia serikali hawaambiwi wakajielimishe kwanza ndio waweze kusifia wanavyovijua? Hao wnaoimba mapambio ya kusifu wameelimika? Unazijua kazi za mbunge? Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu,je hao nao kama washauri wa serikali na wakosoaji pia ni lini huyo Waziri amewataka wakajielimishe? Ukiwa mjinga usilazimishe kila mtu afanane na wewe! |
Mimi nimeileta kwa kujuza kilichomaanishwaTetea hoja yako aisee
Unapoandika jambo akili yako iwe imezunguka kuangalia kona zote ndo ulete hiyo hoja. Pole
Mwambieni huyo dogo akasome maana sio size ya mwakyembe
State agent
Dr. Shika naye ana PhD lakini hata kupanga chumba kimoja ameshindwa analala kwenye vituo vya mabasi.Mwambieni huyo dogo akasome maana sio size ya mwakyembe
State agent
Wewe ndo Mwakyembe?Mimi nimeileta kwa kujuza kilichomaanishwa
Imekutachî mkuu, uzi unakuhusu.Angetamka na ile kwangwaruuuuu ya magufuli tungemuona muungwana
Imekutachi mkuu, uzi wako huu umegonga mfupa.Kamwambie mumeo imekula kwenu, alipolishwa sumu aliimba mapambio kama haya? Mbona hatukusikia akisema hawezi kupewa sumu na wenye Elimu ndogo, wakati alipewa sumu na PS tu tena form 4 mwenye cert ya uhazili?