Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
- Thread starter
- #81
Sorry battery D620 Mpyaaa! Warranty
1 month. Terms and Conditions Apply!!
1 month. Terms and Conditions Apply!!
mkuu,mzarau mwiba mguu huota tende,sisi hatuna chuki na mtu,nenda huko kote fanya utafiti wa bei na ubora wa bidhaa then njoo ufananishe na za kwetu.biashara ni kuuza na kununuliana.
karibu sana uhuru computers.
nikumegee kidogo tu,hao raam wanatumia jina letu kurubuni wateja wetu wakijifanya nao ni uhuru,sisi tuko serious na huduma zetu mkuu.
Price 650,000/-
Mie nimetoka huko,nimeona bidhaa Zao,ni nzuri na bei zao ni affadable,nimejibebea laptop moja ya bei ya kutupa!
vp kuhusu easy it, ni duka lenu pia...
bei ya kutupa sh.ngapi?
vp kuhusu easy it, ni duka lenu pia...
wewe pia ni wa kwetu kwani shida yako ni nini.