Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

Inauma na Uhuru, wekeni vizuri parameter zenu na bei hata kama kwa Dola au Euro huku mkiweka maelezo kuwa mtu atalipa kwa Tsh akija hapo. Ila bei itategemea na thamani ya Tsh kwa siku hiyo.

Ninamwamini sana mtu anayeweka bei kabisa maana ninapotoka nyumbani nakuwa nimejiandaa nije walau niangalie au nisije kabisa. Kwa kuweka baadhi ya bei, inanipa nguvu ya kufika. Endeleeni na hilo kwani nalo linapunguza kuonekana "Waswahili".

Ila wanasema Mkono huosha mkono mwingine.

Msisahau kuwa Jamiiforums nayo inahitaji kamchango kidogo mara moja moja. Labda kama kuna malipo mlifanya.

Ila hii ni kuwakumbusha hata Wanunuzi kuwa JF inachangiwa, tusiisahau bandugu.

Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi.html
 
Samsung mini laptop
processor: 1.6 intel atom
memory: 1gb ddr3
hard drive: 160gb sata
free dos
1 year warranty
price only 405,000/=
@ uhuru computers for jf members
call now 0765260673

View attachment 51628
 
Mwanza mpo sehem gan..yaan watu wa mikoan wamesahaulka dar is everything...je mnajua ni maana ya capital transfer?
 
Inauma na Uhuru, wekeni vizuri parameter zenu na bei hata kama kwa Dola au Euro huku mkiweka maelezo kuwa mtu atalipa kwa Tsh akija hapo. Ila bei itategemea na thamani ya Tsh kwa siku hiyo.

Ninamwamini sana mtu anayeweka bei kabisa maana ninapotoka nyumbani nakuwa nimejiandaa nije walau niangalie au nisije kabisa. Kwa kuweka baadhi ya bei, inanipa nguvu ya kufika. Endeleeni na hilo kwani nalo linapunguza kuonekana "Waswahili".

Ila wanasema Mkono huosha mkono mwingine.

Msisahau kuwa Jamiiforums nayo inahitaji kamchango kidogo mara moja moja. Labda kama kuna malipo mlifanya.

Ila hii ni kuwakumbusha hata Wanunuzi kuwa JF inachangiwa, tusiisahau bandugu.

Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi.html

mkuu,asante sana kwa ushauri wako mzuri.

iko hivi,sisi ni wadau wakubwa wa jf na tunafanya mpango na mungu akipenda baada ya wiki chache zijazo utaliona tangazo letu pale lilipo la tigo au airtel lengo likiwa likiwa ni kuichangia jf.

2.kwa sasa shilingi imeimarika dhidi ya dola,tunadhani ni uzalendo na nivyema kutumia madafu kwani lengo ni kumwezesha mtanzania wa kawaida apate kile anachokihitaji, kuna bidhaa zetu zingine ni chini ya dola mia,tunaogopa kumsumbua mteja, hata hivyo wazo lako tumelichukua mkuu.

3.sisi tunaujasiri wa kuweka bei na namba zetu za mawasiliano kwa kuwa tunajiamini na tuna uhakika na huduma zetu, wana jf wengi sana wamepata huduma zetu na wametupongeza na kutupa maoni yao.

karibu uhuru mkuu.
 
Mwanza mpo sehem gan..yaan watu wa mikoan wamesahaulka dar is everything...je mnajua ni maana ya capital transfer?

mkuu,pale mwanza tuna wakala wetu anaitwa lake zone computers,yupo mtaa wa miti mirefu mkabala na mohamed trans...,frem za shule ya sekondary pamba chumba no.E...mpigie Wales simu no 0718029495.
 
Husna hao Raama mbona hawana kitu dukani kwao???

Naskia Wanauza makomputa mabovu hawana guarantee hata mwezi mmoja,
Hivyo inaonesha hawana uhakika na wanachokifanya.

unauza hizi products? Wapi? Watu waje na kwako!! na wewe Dell wanakujua km Wanavyowajua Uhuru Computers!!!

Inauma, Anakukaribisha Uhuru hata Jumla anauza nunueni kwake ww na Kaale
 
mkuu,pale mwanza tuna wakala wetu anaitwa lake zone computers,yupo mtaa wa miti mirefu mkabala na mohamed trans...,frem za shule ya sekondary pamba chumba no.E...mpigie Wales simu no 0718029495.

Aah! kumbe ndo nyie..huwa napita tu pale ngoja bac niwatembelee rasmi lakn kwasasa npo Bukoba..vp bidhaa ndo ilele km ya Uhuru?
 
Mie nataka mini laptop 10.1 inches.
Iwe nyembamba na sio yale manene.
Ram kuanzia 2gb nikipata zaidi nitashukuru,
Hard disc iwe kuanzia 320.
Uniambie na external DvD drive utaniuziaje.
OTIS
 
Samsung Mini
1.6 Duo core Processor
1GB
320GB
Webcam
Wifi
Bei 405,000/-
 
Njoo ucheck Samsung ni slim na kuongeza Ram ni 25,000/-

External Ya Transcend 100,000/-
Warranty 2 years.
 
Husna hao Raama mbona hawana kitu dukani kwao???

Naskia Wanauza makomputa mabovu hawana guarantee hata mwezi mmoja,
Hivyo inaonesha hawana uhakika na wanachokifanya.

unauza hizi products? Wapi? Watu waje na kwako!! na wewe Dell wanakujua km Wanavyowajua Uhuru Computers!!!

Inauma, Anakukaribisha Uhuru hata Jumla anauza nunueni kwake ww na
 
Acer veriton desktop with flat 17 inch
3.0 ht 1gb ddr3 160gb combo

price including delivery 320,000/=View attachment 50964

Hapa Unaposema Free Delivery ni kwa watu wanaochukua Nyingi au Moja?

Maana kunasehemu umesema free delivery kwa Mikoa ya Dar,Dom,Mwanza na Moshi. Lakn kwa Mikoa mingne mpaka kwa Biashara ya Jumla. Au sijawaelewa Hapo?
 
tunawashukuru wana jf wote waliokuja kununua bidhaa zetu.bado tunasema karibuni sana
 
Comred Ngosha;

Dell D620 huwa tunauza 380,000/-
Na warranty 3months. Hii sio mpyaa
Ni factory Refurbished Tested with new battery!

Sio Used .......,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom