Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
- Thread starter
- #121
HP 635 hatuna tena, pls call 0658000860. For stock assistance
I
I
HP 635 hatuna tena, pls call 0658000860. For stock assistance
I
Nyinyi maneno mengi mdomoni hamna lolote. Mkipigiwa simu mnazingua tu!
Baraka HP 635 hatuna , unataka tukuambie NiNi?
Pole sana mkuuwezi hawa nawajua sana pale kkoo....waliniuzia laptop inazingua battery...niliporudi nimepigwa danadana mpaka nikaona nazidi kupata hasara ya mafuta yangu na kupoteza mda wa kukaa kwenye foleni...ss hv naitumia kama desktop tanesco wakizingua na yenyewe chali...wezi tu nyie alshabab...