Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
- Thread starter
- #101
Add Content
[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 680"]HP PAVILION 2000 2.13 DUOCORE 3GB DDR3 320GB WEBCAMERA WIFI BLUETOOTH DVD/RW WINDOW7
naomba kufahamishwa ni original au za wachina na nikja na 700000/= inanunulika?[/TD]
[TD="width: 125"]765,000/=
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hizo bei ni fixed HP hiyo ni from USA but made in china.
HP wanakupa warranty 1 year
Bei haipungui karibu
Duka lenu bado changa sana watanzania nawashauri muende pembeni yao pale kunaitwa universal computer na ndio msomali mkubwa hapa bongo kwa kuuza komputa anaitwa raam hata hao uhuru wanachukua kwa raaam
kuna kaale anaiuza rahisi sana kuna zakaria computa naye anauza rahisi mnoooooooooooooooooooooooo
Mkuu hebu fafanua hiyo nyekundu.
Vp kuhusu projector kiongozi, sony au kenwood or toshiba, naeza pata?
Vipi bei ya laptop ya del na waranty. Afu me nipo Tabora inakuaje kunifikia niemail at azizi.adam41@yahoo.com
Vipi bei ya laptop ya del na waranty. Afu me nipo Tabora inakuaje kunifikia niemail at azizi.adam41@yahoo.com