Wanaohitaji kuwa mawakala M-pesa nitafute | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaohitaji kuwa mawakala M-pesa nitafute

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Yaka, Oct 12, 2012.

 1. Yaka

  Yaka JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 180
  Habari wadau, kwa mtu yoyote anayehitaji kuwa wakala m-pesa kwa haraka na gharama nafuu kabisa anichek aidha pm au call 0713522353 kwa maelezo zaidi. Utafurahi mwenyewe.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hivi Faida inapatikanaje kwenye hyo bizna?
   
 3. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,178
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Voda yenyewe huna, kama ipo kulikoni kutuwekea namba ya wapinzani wenu?
   
 4. Yaka

  Yaka JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 180
  hujalazimishwa mkuu kama huwezi kaa kimya. Hii ni kwa faida ya watu wa kipato cha chini. Mi nafanya yangu nawe fanya yako.
   
Loading...