aaa hapo nimeelewa, kumbe unaiuza kwa bei ndogo, na mm lengo langu lilikuwa ni kuifanya post yako ieleweke kwa maana ilikuwa haiko clear. Lakini mm binafsi sion haja ya kuziuza hizo blogs kwa maana google wanazitoa bure kabisa, templetes zipo nyiiingi za kutosha kwenye mtandao, ifikie hatua watz tufundishane hivi vitu sio kuwafanya ambao hawajui kama sehemu ya kujipatia kipato. Tofauti na wazungu ambao vitu kama hivi, tricks mbalimbali huziweka wazi ili watu wapate maarifa. Vitu kama blogs ni vidogo sana na havihitaji too much programming.