Wanaoharibu koki ya mafuta na wanaonufaika na mizigo ya watu kuingia storage pale bandarini ndio wanaopinga ujio wa DP World

RED BELT

Member
Oct 24, 2022
61
118
Kuna koki Moja kubwa ya mafuta pale bandarini huwa nasikia hii koki Kila siku inaharibika na kikoki muhimu katika kukusanya Kodi Kwa upande wa mafuta na ukweli ni kwamba sio kama inaharibika ila Kuna watu wanaiharibu Kwa makusudi Kwa manufaa Yao

Na kuhu storage Kwa kweli ukiwaona wazambia na wamalawi jinsi wanavyoteseka na mizigo Yao kuingia storage utasikitika sana

Yani Kwa Sasa watu wanaotumia bandari yetu ni Kwa sababu tu hawa njia mbadala jinsi wanavyonyanyasika Kwa mipango iliyopangwa na watu Fulani Ili wao wapige pesa

Mtu ameleta mzigo mzigo wake anataka kuutoa system ipo down Hadi mzigo unaingia storage Sasa hapo kosa la nani ?

Wakija DPW haya mambo hayatakuwepo kabisa na wale wazee wa showroom wa kuleta magari 20 alafu wanayaripia 5 tu mengine yanapita bure pia huo upuzi hautakuwepo
 
Na waliopelekwa shoping'i Dubai ndio wanaounga mkono.
 
Rubbish and non sense
 
Yaani mmeshindwa kabisa kuwadhibiti hao wahujumu mpaka Dp world wafanye hayo ?
 
Ungekua unajua usingeandika hivi.
Kama serikali inajua kwamba koki inachezewa kwanini wasitumike Polisi. Tiss, jeshi la zimamoto kulinda hiyo koki? Au haya majeshi Ni kwa ajili ya maandamano ya chadema tu?
System down inachukuaga muda gani. Kumbuka system unayoongelea hapa Ni ya TRA .
 
Kuna koki Moja kubwa ya mafuta pale bandarini huwa nasikia hii koki Kila siku inaharibika na kikoki muhimu katika kukusanya Kodi Kwa upande wa mafuta na ukweli ni kwamba sio kama inaharibika ila Kuna watu wanaiharibu Kwa makusudi Kwa manufaa Yao

Na kuhu storage Kwa kweli ukiwaona wazambia na wamalawi jinsi wanavyoteseka na mizigo Yao kuingia storage utasikitika sana

Yani Kwa Sasa watu wanaotumia bandari yetu ni Kwa sababu tu hawa njia mbadala jinsi wanavyonyanyasika Kwa mipango iliyopangwa na watu Fulani Ili wao wapige pesa

Mtu ameleta mzigo mzigo wake anataka kuutoa system ipo down Hadi mzigo unaingia storage Sasa hapo kosa la nani ?

Wakija DPW haya mambo hayatakuwepo kabisa na wale wazee wa showroom wa kuleta magari 20 alafu wanayaripia 5 tu mengine yanapita bure pia huo upuzi hautakuwepo

Wee ngumalo, kinachokataliwa ni makataba ubadilishwe sio kuwa wanakataa dp world. Mkataba ukiwekwa vyema, muwaambie wawaongezee posho maana mmepambana kutetea kuliangamiza taifa lenu kwa vipande vya vichache vya fedha
 
Kuna koki Moja kubwa ya mafuta pale bandarini huwa nasikia hii koki Kila siku inaharibika na kikoki muhimu katika kukusanya Kodi Kwa upande wa mafuta na ukweli ni kwamba sio kama inaharibika ila Kuna watu wanaiharibu Kwa makusudi Kwa manufaa Yao

Na kuhu storage Kwa kweli ukiwaona wazambia na wamalawi jinsi wanavyoteseka na mizigo Yao kuingia storage utasikitika sana

Yani Kwa Sasa watu wanaotumia bandari yetu ni Kwa sababu tu hawa njia mbadala jinsi wanavyonyanyasika Kwa mipango iliyopangwa na watu Fulani Ili wao wapige pesa

Mtu ameleta mzigo mzigo wake anataka kuutoa system ipo down Hadi mzigo unaingia storage Sasa hapo kosa la nani ?

Wakija DPW haya mambo hayatakuwepo kabisa na wale wazee wa showroom wa kuleta magari 20 alafu wanayaripia 5 tu mengine yanapita bure pia huo upuzi hautakuwepo
Kwa kweli hatupingi DP World, tunachopinga ni mkataba wa chifu mangungo, ila uhitaji wa DP kama invested upo, shida ni yeye kumilikishwa vyetu tu... Serikali ibadili mkataba ili DP wafanye kazi kwa Amani....
 
Kuna koki Moja kubwa ya mafuta pale bandarini huwa nasikia hii koki Kila siku inaharibika na kikoki muhimu katika kukusanya Kodi Kwa upande wa mafuta na ukweli ni kwamba sio kama inaharibika ila Kuna watu wanaiharibu Kwa makusudi Kwa manufaa Yao

Na kuhu storage Kwa kweli ukiwaona wazambia na wamalawi jinsi wanavyoteseka na mizigo Yao kuingia storage utasikitika sana

Yani Kwa Sasa watu wanaotumia bandari yetu ni Kwa sababu tu hawa njia mbadala jinsi wanavyonyanyasika Kwa mipango iliyopangwa na watu Fulani Ili wao wapige pesa

Mtu ameleta mzigo mzigo wake anataka kuutoa system ipo down Hadi mzigo unaingia storage Sasa hapo kosa la nani ?

Wakija DPW haya mambo hayatakuwepo kabisa na wale wazee wa showroom wa kuleta magari 20 alafu wanayaripia 5 tu mengine yanapita bure pia huo upuzi hautakuwepo
Kwani Serkali Imeshindwa kuwashughulikia Hao wahalifu hata ikibidi wauliwe Kwa manufaa ya Taifa! hadi tuwaajiri dpw wawashughulikie??
 
Koki inalegezwa na wanaokataa mkataba au mi ndo sijakuelewa?

Ndo kusema ccm uwezo wenu wa kufikiri na kuwadhibiti wachezea koki umeishia hapo?

Jitahidi watu wasijue kama huna akili.
 
Kwani Serkali Imeshindwa kuwashughulikia Hao wahalifu hata ikibidi wauliwe Kwa manufaa ya Taifa! hadi tuwaajiri dpw wawashughulikie??
Upo sahihi Kwa Sasa mambo 2 tu tuwape bandari DPW au tuwe na sheria ya kunyonga mafisadi
 
Kuna koki Moja kubwa ya mafuta pale bandarini huwa nasikia hii koki Kila siku inaharibika na kikoki muhimu katika kukusanya Kodi Kwa upande wa mafuta na ukweli ni kwamba sio kama inaharibika ila Kuna watu wanaiharibu Kwa makusudi Kwa manufaa Yao

Na kuhu storage Kwa kweli ukiwaona wazambia na wamalawi jinsi wanavyoteseka na mizigo Yao kuingia storage utasikitika sana

Yani Kwa Sasa watu wanaotumia bandari yetu ni Kwa sababu tu hawa njia mbadala jinsi wanavyonyanyasika Kwa mipango iliyopangwa na watu Fulani Ili wao wapige pesa

Mtu ameleta mzigo mzigo wake anataka kuutoa system ipo down Hadi mzigo unaingia storage Sasa hapo kosa la nani ?

Wakija DPW haya mambo hayatakuwepo kabisa na wale wazee wa showroom wa kuleta magari 20 alafu wanayaripia 5 tu mengine yanapita bure pia huo upuzi hautakuwepo
Wewe ndo wale wale,

Imeshindwa kuwakamata Hadi muwaze kuuza bandari zetu zote?

Wajinga waliisha kitambo,

Peleka huko porojo zako.
 
Back
Top Bottom