vinyago uchongwa kama hao ni vinyago basi waliovichonga ni wao ccm na vinyago ndio taswira halisi ilivyo katika ccm.nape leo ametoa jina jipya kwa wanaohama ccm kuwa ni vinyago na vinyago haviwezi kuwatisha hilo ni jina la pili ndani ya wiki moja baada ya kuwaita kuwa ni oil chafu ametoa kauli hiyo alipokuwa anahutubia wakazi wa makambako mkoa wa njombe.
Mytake na bado atatoa majina mpaka achoke mwaka huu kimenuka kimenuka tu.
Source itv