Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

Ulithibitishaje watoto wanafunga ndoa?
 
Watoto hawafungi ndoa mkuu,wanashuhudia wazazi wao wakifunga ndoa.Vile Vitoto pale mbele vinavyotangulia sijui mnaviitaje mimi>Unakuta ni vitoto vya wanandoa.
Siyo wote mkuu huwa ni watoto wa wawanandoa, japo kuna wakati wengine waliozaa kabla ya ndoa huwa wao.
 
Tokea nikiwa mdogo nimekuwa niksikia kuhusu uzi ndoa za mkeka, na niliambiwa hizi ufungishwa kwa razima pale unapofumaniwa na binti wa watu basi unawekwa chini ya ulinzi na shekhe anaitwa na ndoa inafungwa, uwe unataka au hutaki!

Mkuu, hizo ndoa za mkeka hazina nguvu ya kisheria. Wewe ukifumaniwa wakauambia ndoa ya mkeka kataa tu, kwani watakufanya nini? Na hizi ndoa zinapoteza maana ya neno kufumaniwa. Sishabikii zinaa, lakini kinachotokea ni kwamba utakuta ni watu wawili wenye akili timamu wamakutwa wanafanya jambo kwa utashi wao wao wanaita kufumania na kulazimisha "ndoa" uchwara.

Na hata wakilazizimisha ndoa ya mkeka kwani wanakupaka super glue uungane na huyo "uliyefumaniwa" nae?
 
Ni jambo la kila Mmoja kufuata taratibu zake.Wa mkeka inawezekana akaoa wakaondokana na dhambi ya uzinifu.aliezini miaka ishirini akabariki uzinifu watoto wake watakuwa mashahidi Wa uzinifu huo Siku ya hukumu

Dogma. Yale yale ya Wahindi kubaka mwanamke halafu unaambiwa ukimuoa uliyembaka basi umefuta kosa. Ujinga tu.
 
Shukrani mkuu umeelewa lengo langu. Mimi ni mkristo lakini nawaheshimu sana ndugu zangu waislam maana hata kwenye familia yangu wapo.
 
Hahahaha,.duh mmemezeshwa hovyo.
Eti vitoto vinatangulia mbele vimezaliwaje....
 
hatukutukani mkuu...na katika uislamu uchafu wa zinaa hauruhusiw kama huko kwenu....ndo maana inatokea kitu hicho kama umekutwa
Ulianza kwa kuelewa akina Nani wanafungisha za mkeka kabla hujakata Kona,
 
Ukifumaniwa na mtoto wa mtu. Hapo mkeka unakuhusu.
Wakuache uwakimbie. Hawakupi nafasi ya kujipanga.
Tena wanakupa bure.
 
Hakuna mzee au familia inayokubali binti yao aharibiwe na mjinga mmoja tu, kwa ajili ya kumaliza hamu/tamaa zake za kingono, vile vile binti yule na endapo atapewa ujauzito muhusika ataikana na kujiweka mbali, hivyo inapobidi njia mbadala itumike. Kwani mnazidi kuwaharibu watoto wa watu na kuwatelekeza.
 
Kweli kaka, yaani madrasa kule waliotakiwa kua viongozi wa kuwafundisha watoto wanawaingilia kwa nyuma,
Na wazazi wanaficha ujinga huu eti kids wataichafua dini,,Kisha wanaamua kumaliza chini kwa chini.
Huku Ni kufika mbali nakubaliana nawe.
sio madrasa mkuu...ni makanisani usijifiche ...madrasa haijawahi kufungwa ndoa ya jinsia moja....ila makanisani imefanyika....nadhani hata viongoz wa kanisa kubwa kuliko yote walipata kashfa ya kuwaingilia watoto lkn kiongoz mkuu aliwasamehe(msinitukane ingieni google kwanza mpate ukweli)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…