Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
 
watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama samia suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia ccm kura nyingi mno unabisha subiri.
Mama yangu naona uko na ugonvi na mme wako.

swissme
 
watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama samia suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia ccm kura nyingi mno unabisha subiri.

Ndoto uliyoota leo afu ukaamkia JF itakupasua kichwa jua likitoka.Mama Samia huyu huyu aliyeahidi kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu?
 
nakuonea huruma mdogo wangu.
 
watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama samia suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia ccm kura nyingi mno unabisha subiri.

Pia kuna hiki kichwa hiki umekisahau mkuu....

Last edited by a moderator:
watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama samia suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia ccm kura nyingi mno unabisha subiri.
attachment.php
 
Kwa ilivyo figisu figisu zinazoendelea kweli hawezi shika dola ya nchi mpaka saiv kuna video ya Slaa imevuja akiwa na anakabidhiwa mkwanja wake ndani ya Serena hotel ZnZ na wafanyakazi
 
Kura zitaongea wa kulia watalia na wa kucheka watacheka
 
Kwa ilivyo figisu figisu zinazoendelea kweli hawezi shika dola ya nchi mpaka saiv kuna video ya Slaa imevuja akiwa na anakabidhiwa mkwanja wake ndani ya Serena hotel ZnZ na wafanyakazi

weka hiyo video mbona wanaukawa mnaakili za kushikuwa hapo umewaskia walevi kirabuni wanasem imeonekana video sasa na wew bila hata kuiona umeamini na kuanza kuwaaminisha na wajinga wenzio.akili zako ndogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom